Jifunze kumuacha aende

Um Shadeeya umenikumbusha msemo mmoja wa wahenga wa kizungu ambao tafsiri yake inasema hivi;

"Ukimpenda mtu mwache huru, akirudi huyo ni wako asiporudi ujue hakuwahi kua wako" mwisho wa kunukuu

Asili ya neno mapenzi ni "ridhaa". Yaani mtu karidhika mwenyewe akukabidhi moyo wake, akiamua kuuchukua kutoka kwako basi shukuru Mungu utafute mwingine wa kumbembeleza akukabidhi mtima wake kama huyo aliyeondoka
 
Nakazia. 💃💃💃
 
Hahahaaa. Mtani huyo naye tunasema muache aende na akirudi tunamfanyia kama yule jamaa wa Gisenyi.
Halafu kamji ka Gisenyi niliwahi kaa hapo Shadeeya
Mji unatazama Lake Kivu ambao ndio mpaka wa Rwanda na Goma DRC...kwahiyo ukitaja Haruna Au Gisenyi nakumbuka mbaali sana
 
Alisamehe mdomoni ila kashindwa kulitoa rohoni, heri muishie hapo maana huyo haupo tena moyoni mwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…