heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
I Cheated on her but she heard from friend of mine, Hana ushahidi wowote anacholalamika ni kwanini sikumwambia mapemaUlimkosea kosa gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I Cheated on her but she heard from friend of mine, Hana ushahidi wowote anacholalamika ni kwanini sikumwambia mapemaUlimkosea kosa gani?
KwaninWewe ni pumbavu.
Nafasi.Kwanin
Wewe ni pumbavu.
🙏🙏🙏Imeisha hiyo
TumefikaaWanakuja!
Hakunaga kuachwa ghafla ww mwenyewe kuna sign utaanza kuziona mapema kabla ya kuachaHujawahi kuachwa ghafla bila kujipanga,sio kitu cha masihara
Hujawahi kuachwa ghafla bila kujipanga,sio kitu cha masihara
Ahaaa kabisa, utajidanganya kufuta namba yake ili usiwasiliane nae unakuja kukumbuka namba iko kichwaniYaan acha tu kuna watu watamu sana kuwaacha ni ngumu mno
Kila ufanyacho unamuwaza yeye tu.Ahaaa kabisa ,utajidanganya kufuta namba yake ili usiwasiliane nae unakuja kukumbuka namba iko kichwani
Haijawahi kuwa rahisiKila ufanyacho unamuwaza yeye tu
Sio rahisi jamen