Tatizo utakuta kuna mwanamke anakupenda na yuko tayari kufa juu yako lakini wewe hauna mapenzi naye kama akupendavyo. Utajitahidi kutompigia simu au kutomuona, utashangaa siku ya siku anakupigia simu anataka kujuwa uko wapi na unafanya nini, huku akikulaumu mbona haumtafuti. Mimi ilinikuta hii, kuna mdada alitaka nimgegede akidai ana miaka miwili hajasuguliwa, kwa huruma wangu nikampoza kwa kumpa raha ya mbinguni.
Cha kushangaza, yeye akawa anawaambia wenzake mtaani kuwa mimi ni mtu wake wakati si kweli, mimi sikuwa na sijawahi kumpenda yule demu hata kidogo na hatuendani hata kidogo. Hapa najuta kwanini nilimpa uroda yule mdada, yaani sina hata chembe moja ndani ya moyo wangu inayompenda yeye, nashangaa sasa hivi yuko anawaambia wenzake kuwa mimi mshenzi, mwanamke feki, sina issue. Kwenye Instagram yake aachi kubandika status za kijinga kuwa alimpenda mtu na kuchezewa, niligundua hili baada ya yeye mwenyewe kuniambia nicheki status yake.
Kuna wanawake wajinga sana, unapenda mtu asiyekupenda kweli kisha unajichanganya akili?