Jifunze kumuacha aende

Motivesheno spika bwana [emoji16][emoji16][emoji16]

Muziki wa kuachwa na mtu umpendaye kikweli usikie tu. Na wanasaikolojia wanashauri sana kufuata taratibu na kuupa muda nafasi yake ili uweze kuponyesha majeraha vinginevyo mtu unaweza kubakia na makovu ya kudumu. Mtu aliyeachwa anakuwa na mtafaruku ule ule wa kisaikolojia kama mtu aliyefiwa na ndugu wa karibu. Kote kunahitajika healing pole pole...japo inategemea mtu na mtu lakini usipojiangalia unaweza kujikuta unageuka katili usiyejali na usiyeamini mtu tena....Be careful please!
 
Hali hii inanitesa nilmpenda Sana na kwel akaonyesha interested ya kuwa na mm tulifurahia couple yetu for short moment but suddenly akaanza kutojibu sms,call kibaya zaid kanipiga block kote cjui nmemfanyia nn kibaya kpnz changu huyu,nilmnunulia infinix hot 8,nimemshonea nguo kila mtindo,nampa hela ya matumiz 20k up 40 per month but bado cjajua nmekosea wapi😭😭😭😭mapenzi yameondoa furaha ya moyo wangu naonekana naumwa kumbe n love disease
 
Usihuzunike
Jifunze kutokana na makosa
usimuoneshe mwanamke kuwa unampenda sana na unamtegemea ni kosa

Piga kimya atakutafuta tu

na hata asipokutafuta sio mbaya move on
 

Anaitwa nani au jina lake linaanza na herufi gani?
 
Usihuzunike
Jifunze kutokana na makosa
usimuoneshe mwanamke kuwa unampenda sana na unamtegemea ni kosa

Piga kimya atakutafuta tu

na hata asipokutafuta sio mbaya move on
Daaaa na kwel nmemuonyesha nampenda na hilo amegundua,nateseka kwa ajili ya huyu binti kinachoniumiza Zaid vile alivyokuwa ananidatisha kwa mahaba mazito,naumia kila nkimkumbuka huyu dear wangu
 
Si kazi rahisi..ila itabidi tuwaache waende
 
Unafikiri haya watu hawayajui?

Mkuu yakikufika hapa, sijui inakuwagaje....

Kupenda upofu, mkuu...
 
We Jamaa_Mbishi kweli ungemkubalia tu kua naye. [emoji41]
 
...Kusema Rahisi....
 
Exactly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…