Jifunze kumuacha aende

Dah. Pole mkuu
 
Aiseeh hii show huwa ni nzito sana

Nashukuru ilishanitokea dadeki yani zaidi ya miezi sita nnaStruggle tu na ile maumivu
 
Ujumbe kwa jamii
 
Aah!tumeshamwacha kaenda na kajifunz ila kaona chaka linalomfaa ni la zamani...kwa hyo formula ibadilike...mwache aende afu arudi
 
MJOMBA JIFUNZE KUWA NA AIBU......HILI BANDIKO NI LA KWANGU LIMO HUMU TOKA 26 OCTOBER 2016.
SASA IWEJE WEWE KU COPY NA KU PASTE? UNATEMBELEA NYOTA YANGU? HUNA UWEZO WA KUBUNI MAMBO YAKO? AU WATAFUTA UJIKO?
HUO SI UUNGWANA.
MOD MPO WAPI?
 
MJOMBA JIFUNZE KUWA NA AIBU......HILI BANDIKO NI LA KWANGU LIMO HUMU TOKA 26 OCTOBER 2016.
SASA IWEJE WEWE KU COPY NA KU PASTE? UNATEMBELEA NYOTA YANGU? HUNA UWEZO WA KUBUNI MAMBO YAKO? AU WATAFUTA UJIKO?
HUO SI UUNGWANA.
MOD MPO WAPI?
WaTanzania huwajui ndugu?
 
Huwezi kumpa kila kitu mwanamke.
Wacha kujidanganya .
Mpe m100 hapo
Au ukishatoa gauni la 32 unaona ndio kila kitu usipende sana kitumia huo msemo
Huwezi kumpa kila kitu mwanamke anayekupenda kwa dhati atajifunza kuishi kwa kipato chenu na hapo ndio maana halisi na ladha ya mapenzi inapopatikana, ukiwa na pesa sana ni ngumu kujua kama unapendwa kweli au yupo kwa ajili ya kujikidhu kimaisha, na maisha ni kupanda na kushuka
 
Kuachana Na mwanamke au mwanaume unaempenda inahtaji moyo Na utulivu Wa akil sana
 
Chukua biaa ya baridiiiiiiiiiii ntaripaaaa
 
Kuachana Na mwanamke au mwanaume unaempenda inahtaji moyo Na utulivu Wa akil sana
Akiwa huyo mwanamke hakai karibu na mimi basi hilo ni swala dogo sana,akiwa karibu kuna ile kumuona na kujisikia vibaya,lakini niwe mkoa yeye yuko sijui wapi huko,ktk Dunia hii yenye wanawake wengi wote wazuri,aisee namsahau,hata tukiwa mji mmoja kama ka wilaya fulani,akiishi tu mtaa wa mbali na mimi na siyo nyumba moja basi imetoka mwanawane
 
Asante kwa somo zuri, nahisi furaha yangu imerudi ghafla baada ya kusoma hii kitu.

MUACHE AENDE....

Ngoja nifute na namba kabisa maana nimebembeleza hadi nimechoka.
Huu ni uzembe bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…