Jifunze kumuacha aende

Yaani mimi ndo najua kabisa siwezi kumuacha na yeye anajua kwamba kwake nimefika. Siwezi kumuacha kama atanitesa poa tu imladi nipo naye .akiamua kuniacha aisee nitamuomba hata niwe mchepuko wake hata kama akiamua kuoa..ila kumuacha big NO. SIMUACHI
Ni pagumu sana hapo mkuu, mapenzi ni hisia ngumu sana mwilini na akilini mwa binadamu. Nazungumza kwa experience kwa kuwa mara kadhaa imekuwa ikintokea kumpenda mtu sana mpaka kufikia wasaa nashindwa kuachana nae. Sio kwamba siwezi ila tu nakuwa najenga imani tu kuwa yatakwisha. Uzuri ni kuwa naye ananipenda mno hivyo pia hawezi ruhusu mpaka kufikia hatua ya sisi kutengana. Ingawa kuna wakati ilishatokea hivyo ila haruhusu tuachane alilia sana kwa ajili yangu.
 
kama mm sema nimeenda kroho upand nataman ata anipigie cm japo hajatulia sema itakuwa umackin umechangia na mm baada ya hapo nimeelimika cingii in relation kama cna hela watajaninyang'anya tonge tena
Hahaha pole mkuu tatizo ulijichanganya kuchukua demu cheap, ku fall in love na kicheche ni sawa na kulima mpunga jangwani kamwe hauwezi kumea!
 
Kuna mmoja nipo nae mpaka leo..nikigombana nae mwisho wa ugomvi ananiuliza "kwahiyo ww unaamua nini mpaka sasa hvi??" Anataka niseme tuachane....aiseee mapenz buanaa
Hio hatua ngumu sana ikiwa ushazama na unajua pia anakupenda ila drama tu, atakuwa na kiburi tu coz anajua kwake hupindui. Other than that ana pengine pa kupumzikia siku mkikwazana ndio mapenzi ya kibongo yalivyo yani ukisema usepe week nyingi utashangaa profile yake ina ua jipya!
Vumilia tu kama una malengo nae.
 
Naomba msaada ndugu zangu, nampenzi wangu nampenda San na anatarajia kufanya necta mwaka huu naamanisha mwezi hujao kuanzia mwezi wa name alinambia kuanzia SAS niache nisome sitakuwa karibu Sana na wew nikamuelewa nikampa nafas lakin nlivumilia nikashindwa nikawa namuhtaj hats one time halinikatalia kabisa ilifika hatua had tukawa tunagombana nikajipa moyo mwenyew nikajua uvumilivu lazma kweny ngoja nvumlie tangy mwezi was name mpak sasa cjakutana nae kimapenzi OK nilikubali kuvumilia a some lakini kinachonitia Shaka binti hanitafuti kabisa had nmtafute Mimi anaingia WhatsApp anashindw hat kunitext jaman ndugu zangu nfanye nn hapa nampenda San guy binti. Ahsanten
 
nimewahi kugundua analiwa na mtu mwingine zaidi yangu nikasamehe..akabeba mimba yangu akatoa kisa anaogopa wazazi wakijua nikasamehe..anachati na simu mpaka sa saba mimi naenda kulala namuacha kwenye kochi..niliyavumilia yote kisa nampenda aliponiambia tuachane sikuweza kuvumilia niliumia sana..

sasa yapata miezi nane nishamsahau na maisha yanaenda


MUACHE AENDE
 
Ni hiv mpe huo muda anao hitaji. Wewe endelea na kazi zako. Kama anakupenda kweli atakutafuta lakin kama hakupendi hatajiangaisha hata kwa sms. Hapo moyo unauma ndio lakin songa mbele.. ni mitihani ya maisha
 

Wallah nakurushia ela unywe walau bia mbili..umenigusaaaaa
 
Kaka una moyo... sana.
 
Well you only need the light when it's burning low
Only miss the sun when it starts to snow
Only know you love her when you let her go

Only know you've been high when you're feeling low
Only hate the road when you're missing home
Only know you love her when you let her go
And you let her go
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…