princess peter
Member
- Aug 31, 2016
- 75
- 45
Miss natafuta,upo...mwache aende mama usiumize moyo..mw
ache aende. Usilazimishe penzi kusiko na mapenzi. Mwache asepe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miss natafuta,upo...mwache aende mama usiumize moyo..mw
ache aende. Usilazimishe penzi kusiko na mapenzi. Mwache asepe
Tatizo alipenda anapenda na anaendelea kukupenda kila sikuCc baba nanii analia kila siku utadhani duniani hakuna watu
Ni pagumu sana hapo mkuu, mapenzi ni hisia ngumu sana mwilini na akilini mwa binadamu. Nazungumza kwa experience kwa kuwa mara kadhaa imekuwa ikintokea kumpenda mtu sana mpaka kufikia wasaa nashindwa kuachana nae. Sio kwamba siwezi ila tu nakuwa najenga imani tu kuwa yatakwisha. Uzuri ni kuwa naye ananipenda mno hivyo pia hawezi ruhusu mpaka kufikia hatua ya sisi kutengana. Ingawa kuna wakati ilishatokea hivyo ila haruhusu tuachane alilia sana kwa ajili yangu.Yaani mimi ndo najua kabisa siwezi kumuacha na yeye anajua kwamba kwake nimefika. Siwezi kumuacha kama atanitesa poa tu imladi nipo naye .akiamua kuniacha aisee nitamuomba hata niwe mchepuko wake hata kama akiamua kuoa..ila kumuacha big NO. SIMUACHI
Hahaha pole mkuu tatizo ulijichanganya kuchukua demu cheap, ku fall in love na kicheche ni sawa na kulima mpunga jangwani kamwe hauwezi kumea!kama mm sema nimeenda kroho upand nataman ata anipigie cm japo hajatulia sema itakuwa umackin umechangia na mm baada ya hapo nimeelimika cingii in relation kama cna hela watajaninyang'anya tonge tena
Mapenzi magumu, kuacha ni neno rahisi kulitamka ila putting it in exercise ni ngumu balaa hasa kwa umpendae kwa dhati yote. Its hard!SIMUACHI AENDE COZ NAMPENDAGA HATAKAMA KANISALITI KWA MWANAUME MWINGINE.
SIMUACHI AENDE!!!!
Hio hatua ngumu sana ikiwa ushazama na unajua pia anakupenda ila drama tu, atakuwa na kiburi tu coz anajua kwake hupindui. Other than that ana pengine pa kupumzikia siku mkikwazana ndio mapenzi ya kibongo yalivyo yani ukisema usepe week nyingi utashangaa profile yake ina ua jipya!Kuna mmoja nipo nae mpaka leo..nikigombana nae mwisho wa ugomvi ananiuliza "kwahiyo ww unaamua nini mpaka sasa hvi??" Anataka niseme tuachane....aiseee mapenz buanaa
Ukipenda sana unakua ujinga sasa, tena bora unaempenda athamini huo upendo.Tatizo alipenda anapenda na anaendelea kukupenda kila siku
Ila kwanin mna majibu mabaya sana mkiwa mnataka kuachana na wanaume wenuUkipenda sana unakua ujinga sasa, tena bora unaempenda athamini huo upendo.
Sasa mtu unataka kumuacha, majibu mazuri ya nini 😀Ila kwanin mna majibu mabaya sana mkiwa mnataka kuachana na wanaume wenu
Ni hiv mpe huo muda anao hitaji. Wewe endelea na kazi zako. Kama anakupenda kweli atakutafuta lakin kama hakupendi hatajiangaisha hata kwa sms. Hapo moyo unauma ndio lakin songa mbele.. ni mitihani ya maishaNaomba msaada ndugu zangu, nampenzi wangu nampenda San na anatarajia kufanya necta mwaka huu naamanisha mwezi hujao kuanzia mwezi wa name alinambia kuanzia SAS niache nisome sitakuwa karibu Sana na wew nikamuelewa nikampa nafas lakin nlivumilia nikashindwa nikawa namuhtaj hats one time halinikatalia kabisa ilifika hatua had tukawa tunagombana nikajipa moyo mwenyew nikajua uvumilivu lazma kweny ngoja nvumlie tangy mwezi was name mpak sasa cjakutana nae kimapenzi OK nilikubali kuvumilia a some lakini kinachonitia Shaka binti hanitafuti kabisa had nmtafute Mimi anaingia WhatsApp anashindw hat kunitext jaman ndugu zangu nfanye nn hapa nampenda San guy binti. Ahsanten
• Kamwe usihisi kama ulimwengu ndio unakaribia mwisho pale akupendae anapokuacha.
MUACHE AENDE !
• Kujaribu kumlazimisha mtu akupende ni sawa na kujaribu kumlazimisha Nguruwe kutambua usafi na uzuri. Usimlazimishe akupende, mwache mwenyewe akupende, kama hakupendi...
MWACHE AENDE !
• Wewe ni wa thamani mno kulilia penzi. Mtu ambae anakupenda kweli atakuheshimu na hataku 'treat' kama uchafu. Kama atakuchukulia wewe kama uchafu...
MUACHE AENDE !
• Usipoteze muda wako wa thamani kujaribu kumshawishi au kuomba mapenzi. Mtu mwingine pembeni anakupenda wewe kwa dhati, ila wewe uko busy mno kumuogesha nguruwe! Kwanini?
MUACHE AENDE !
• Usikasirike pale mtu wako anapompenda mwingine tofauti na wewe. Siku zote hua ni vigumu kumshawishi NYANI kwamba Asali ni tamu kuliko ndizi...
MUACHE AENDE !
• Mwanamke/mwanaume yeyote anaekuchukulia kirahisi siku zote atachukulia faida kwako, atakugeuza atakavyo kama chapati akijua hufurukuti, yeye sio Mungu wa kukufanya atakavyo...
MUACHE AENDE !
• Kuna watu hawatakupenda hata kama utajitoa kiasi gani kwao. Ni sawa tu. Kukukataa kwao haimaanishi kwamba una kitu kibaya, bali ni maana kwamba hawako kwa ajili yako. Usilazimishe duara kuwa pembe tatu...
MUACHE AENDE !
CHA KUJIFUNZA
• Hauwezi badilisha maoni mabaya ya watu juu yako, ila unaweza ukazuia maoni yao mabaya yasikubadilishe wewe kama wewe!
• Acha kichwa chako kiongoze moyo wako kukuondoa katika mahusiano sumu. Lengo la mahusiano sio kuleta mafadhaiko ila ni kuongeza furaha juu ya ile uliyokuwa nayo mwanzoni ulipokuwa haupo ktk mahusiano.
Jifunze kumuacha aende hata ni kama kwenye ndoa, vitabu vya dini vinaruhusu kabisa kuvunja ndoa kwa kesi ya Uzinzi.
NI NGUMU SANA ILA KWA MUSTAKABALI WA FURAHA YAKO YA SASA NA YA BAADAE ME NAKWAMBIA MUACHE AENDE MPE NA NAULI KABISA!
Kama ipo ipo tu...!
Tupo pamoja??
Kaka una moyo... sana.nimewahi kugundua analiwa na mtu mwingine zaidi yangu nikasamehe..akabeba mimba yangu akatoa kisa anaogopa wazazi wakijua nikasamehe..anachati na simu mpaka sa saba mimi naenda kulala namuacha kwenye kochi..niliyavumilia yote kisa nampenda aliponiambia tuachane sikuweza kuvumilia niliumia sana..
sasa yapata miezi nane nishamsahau na maisha yanaenda
MUACHE AENDE
MWACHE AENDEKamwe usilazimishe kupendwa usipopendwa, utakufa kwa kihoro na ugonjwa wa moyo. Mbali na hilo utakuwa mtumwa wa kujitakia
hujampata sasa utamuachaje hapa hapakuhusu tuachie sisiWe misimuachi jinsi nilivyomuelewa binti yule mpaka nimpate