Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
MUACHE AENDEEEEE....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PoleWala ni mzima but watu wanatafuta vijisabb vidogo tu ili akuache..Hii inaumiza sana na mtu anaekupenda kwa kumaanisha hawez kukwambia ghafla "mi na wewe basi"..Hawezi
Nakumbuka siku nyingi saaaana. Tulipendana, alinifanyia visa, ila ilikua ngumu kumwacha aende.
One day nikasema ntalazimisha mapenzi hadi lini? Nikaona hakuna future mbeleni, ikabidi NIMWACHE AENDE, na alijua nampenda sana cwez kwenda, lakini ikabidi tu NIMWACHE AENDE, hakuamini lakini ndo hvo NILIMWACHA AENDE...........
Asante Mungu kuniepusha na huyo mtu aliyejifanya ni handsome hakataliwi na mtu,
ETI MUACHE AENDE KUMBE UNA KIBAMIA NA HATA UJITUMI KUPIGA MECHI VIZURI.....ACHA WAJIFARIJI...MUACHE AENDE
Mwache aendeIla kukata tamaa ni dhambi nyingine na kuwa king'ang'anizi bado dhambi
Mwache aendeKamwe usilazimishe kupendwa usipopendwa, utakufa kwa kihoro na ugonjwa wa moyo. Mbali na hilo utakuwa mtumwa wa kujitakia