Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,557
- 7,367
Sawa nimekuelewa mkuu nitafanyia kazi ushauri wako yote maisha tu kupata kukosa ni sawa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikilize moyoSawa nitajitahidi niache kuwa ruba
Usiangalie ni mara ngapi umeanguka! Muhimu ni kunyanyuka na kuanza tena.Sawa nimekuelewa mkuu nitafanyia kazi ushauri wako yote maisha tu kupata kukosa ni sawa tu
Ni kweli kabisa mkuu ila hapo kwenye namba mbili inakuwaje mtu yeye ndio alikufuata, akakushawishi umpende mwisho wa siku inakuwa kama wewe tena ndio unamlazimisha, people are so selfishKuachilia ni jambo gumu sana hasa ukiwa umempenda mtu: Lakini kama ukiliweza utakuwa na maisha mazuri sana, you have to perfect the art. Kuna kweli ambazo mwanadamu akizifahamu humuwezesha mtu kauchilia kirahisi.
1. Wanadamu ni wabinafsi sana, unaweza kuwapenda lakini wakakugeuka. (Human Beings are inherently selfish and absorbed)
2. Siyo kila mtu ameumbwa kwa ajili ya kukupenda wewe au ana wajibu wa kukupenda wewe kisa tu wewe umempenda. Hivyo usipopendwa usichukie kabisa, maisha ndivyo yalivyo.
3. Mapenzi (Erotic Love) ni sehemu ndogo sana katika maisha ya binadamu japo ina umuhimu wake. Ukiokosa leo huwezi kufa, utaishi tu.
4. Duniani hapa huwezi kabisa kukosa mtu wa kukupenda wewe. Wanazaliwa kila siku na wanakufa kila siku: Unahitaji kutuliza kichwa na moyo wako.....
Msimamo mkali sana huo ujue ShadeeyaNa kweli! MUACHE AENDE na hata akirudi hakuna kumuwashia taa za kijani.
Wa nini sa. 💃💃💃💃
People can be selfish and self absorbed.Ni kweli kabisa mkuu ila hapo kwenye namba mbili inakuwaje mtu yeye ndio alikufuata, akakushawishi umpende mwisho wa siku inakuwa kama wewe tena ndio unamlazimisha, people are so selfish
Kweli kabisa Ses. Kama hicho kidot cha tano hapo. Nimekicopy hapo chini.Msimamo mkali sana huo ujue Shadeeya
Akirudi unapasha kwanza kiporo ndio unapiga chiniKweli kabisa Ses. Kama hicho kidot cha tano hapo. Nimekicopy hapo chini.
"MUACHE AENDE !
• Usikasirike pale mtu wako anapompenda mwingine tofauti na wewe. Siku zote hua ni vigumu kumshawishi NYANI kwamba Asali ni tamu kuliko ndizi..."
Kama huyo hapo sasa kuna haja gani ya kumpokea anaporudi. [emoji85][emoji85] Ikitokea anapokelewa basi ujue hayo maigizo hatokaa akayaacha.
Akaaaa. Nakazia aende tu.
Hapo chakuambiwa unachanganya na zako.It's a good advice ngoja niufate maana wakati nnaopitia Mungu ndo anayejua[emoji30] [emoji30] Ila tatizo kamoyo nako hakataki kukubali kumuacha aende dah,ntajitahidii
Hahahaaa. Ngumu hiyo jirani unaeza pasha kiporo ukashindwa kumpiga na chini.
Eti eee.Hapo chakuambiwa unachanganya na zako.
Imeandikwa samehe saba mara sabini na tano. Kisha usahau. Wanaume tunatakiwa tusamehewe