Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akikujibu nitagHii PACKAGE inapatikana wapi na bei gani
Sina mpendwa
Eeh maan sijuii napata wapi hivyo vtu vilivyotajwa apo juu.Wewe unataka vyote naona
[emoji23][emoji23]Dada nifundishe namna ya kutengeneza mafuta ya kusambaratisha hiki ' kipara '
Yani kweli KaU-handsome kangu kaishe hivi hvi, hapana kwa kweli.
Tafadhali sana dada, Nimekuwa muhanga wa kuvaa kofia wakati sikuzoea maisha haya.
Na jambo la ajabu zaidi, nikikaa karibu na watu huku sijavaa kofia, bas utaskia ' Oyah kipara ichoo ' kwakweli huwa najiskia vibaya sanaa
Yani 2015 nilikuwa na mzigo wa nywele, eti leo nimekuwa kinyonyoke.
Please please. Nifundishe hatua kwa hatua. Km utaweza nialike sehem kwa somo zaid.
Yani nitakushukuru milelw na milelee..
Inauzwa...karibuBeeswax naipata wap?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] polee mr kiparaDada nifundishe namna ya kutengeneza mafuta ya kusambaratisha hiki ' kipara '
Yani kweli KaU-handsome kangu kaishe hivi hvi, hapana kwa kweli.
Tafadhali sana dada, Nimekuwa muhanga wa kuvaa kofia wakati sikuzoea maisha haya.
Na jambo la ajabu zaidi, nikikaa karibu na watu huku sijavaa kofia, bas utaskia ' Oyah kipara ichoo ' kwakweli huwa najiskia vibaya sanaa
Yani 2015 nilikuwa na mzigo wa nywele, eti leo nimekuwa kinyonyoke.
Please please. Nifundishe hatua kwa hatua. Km utaweza nialike sehem kwa somo zaid.
Yani nitakushukuru milelw na milelee..
Habari zenu wapendwa? Naamini wote mko poa.
yna2 Leo nimeamua kuwaletea somo la namna ya kutengeneza mafuta ya kujaza ndefu kwa wanaume (natural beard balm).Mafuta haya siyo kwamba yatajaza ndevu tu ila yanatafanya ndevu na mn'garo,kuondoa mfungamano,na kuondoa m'ba.
MAHITAJI
Beeswax (sega la nyuki) 1tbsp
- Kazi yake ni kufanya mafuta yetu yagande na vilevile inasaidia kufanya nywele in'gae.
Shearbutter 1tbsp
- Inauwezo wa kujaza nywele na kuipa ulaini na mn'gao.
Coconut oil 2tbsp
- Kazi yake kujaza nywele na kuondoa ukavu kwenye ngozi na kuifanya nywele in'gae (nakushauri tumia mafuta ya Nazi yasiyopikwa)
Sweetalmond oil 2tbsp
- Kazi yake kuzuia nywele isikatike,kuipa nywele mn'gao,na kuijaza.
Lavender essential oil 10drops
- Kazi yake kuondoa matatizo ya ngozi Kama m'ba..fangasi kwenye ngozi..kuzuia nywele kukatika na kujaza nywele.
Rosemary essential oil 5drops
- Kazi yake ni kuifanya nywele kua nzito..ndefu.. kupunguza wingi wa mafuta..kuipa nywele ulaini na mn'gao.
JINSI YA KUTENGENEZA
Weka sufuria jikoni ..weka maji yachemke ..chukua sufuria nyingine au bakuli la udongo weka beeswax na shearbutter..chukua bakuli lako/sufuria weka juu ya sufuria lenye maji huku ukikoroga taratibu hadi iyeyuke.
Kwanini tunayeyusha butter na beeswax juu ya sufuria nyingine badala ya kuiweka sufuria moja kwa moja kwenye Moto? Tunafanya hivi sababu ya kuepuka kuua vitamini zilizomo kwenye butter na beeswax.
Butter na beeswax vikiwa vimeyeyuka weka mafuta yaliyosalia isipokua essential oils..koroga Kisha ipua.
Acha yapoe kidogo weka essential oils..koroga vizuri Kisha weka kwenye vikopo tayari kwa kuuza/kutumia.
Nb: ukikosa Sweet Almond oil tumia castor oil sio yale ya rangi nyeusi.
Ahsanteni.
Mchana mwema.
View attachment 1481115
View attachment 1481116sa
View attachment 1481117
Michango ya wadau
----
-----[as eySs/QUOTE]
T 2÷
D1√€
Za we WzxzzSwwarz as at YwHabari zenu wapendwa? Naamini wote mko poa.

View attachment 1481116
View attachment 1481117
Michango ya wadau
----
-----
😂😂AiseeZa we WzxzzSwwarz as at YwView attachment 1673410