Jifunze kuwa invisible, kuwasha nuru yako ya rohoni na kutumia nguvu ya ardhi na anga ili ufanikiwe

Jifunze kuwa invisible, kuwasha nuru yako ya rohoni na kutumia nguvu ya ardhi na anga ili ufanikiwe

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,617
Reaction score
10,205
Uandishi sio mzuri sana

UTANGULIZI
Kwanin watu ambao ni devoted kwa Mungu inawawia ngumu sana kufanikiwa mfano kwanin waimbaji wengi wa kwaya au injili hawafanikiwi kama wasanii wanaoimba nyimbo za Dunia, kwanin ni ngumu sana kukuta tajiri na ameokoka hata kama unamafanikio kitendo Cha kusema nimeamua kumtumikia Mungu ghafla Hali yako ya uchumi inakua ngumu sababu ni nin haswa, yafuatayo ndo majibu na njia ambazo unatakiwa utumie ili ufanikiwe

Ardhi kwenye spiritual world
Wakati adamu amekorofisha kwa Mungu alipewa adhabu nayo ni umelaaniwa na ardhi, “Akamwambia Adamu, Kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako, ukala matunda ya mti ambao nalikuagiza, nikisema, Usiyale; ardhi imelaaniwa kwa ajili yako; kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za maisha yako;” — Mwanzo 3:17;
Mtoto WA adamu kain baada ya kumuua ndugu yake abil Mungu alimwambia ardhi imelaaniwa dhid yako, “Basi sasa, umelaaniwa wewe katika ardhi, iliyofumbua kinywa chake ipokee damu ya ndugu yako kwa mkono wako; — Mwanzo 4:11; ukisoma hapo utaona adhabu inatoka inaenda direct kwenye ardhi.

Ardhi kwenye ulimwengu wa Roho ni mfano wa server kubwa ambao unatunza record zote za viumbe hai vilivyoishi na vinavyoishi in short taariifa zako zote zipo kwenye ardhi, ndo maana wakati wa hukumu shahid mojawapo atakua ni ardhi sababu yeye ndo atakua na kumbukumbu ya taarifa zote za viumbe hai vilivyowai ishi duniani

Ardhii inabeba laana na baraka, Adam alivyotangaziwa ardhi imelaaniwa dhid yako kilichotokea ni michongoma, na miiba, vilianza kumea, ukienda kwa kain aliambiwa ardhi haitamzalia chochote kile na atakaye muua atarithi adhabu ya kain mara saba

Kwenye maisha ya kawaida Kila mwanadamu anayezaliwa anakua amerithi laana ya ardhi aliyopewa Adam na mtoto wake wa kwanza kain ndo maana maisha yetu hapa duniani ni struggle uwe una hela au uwe maskini kwa kifupi struggle is real.

Mamlaka juu ya ardhi
Mtu anayeweza kuwa na authority juu ya ardhi popote aendapo atafanikiwa kwanin ukisoma kitabau cha mwanzo baada ya njaa kali unaona isaka Mungu anamwambia usiende misri bali baki hapo ulime, swali la kujiuliza unalimaje kipindi cha ukame Ila isaka alilima na akavuna sababu ni kwamba alipewa authority juu ya ardhi na akaitumia vizuri.

Ukiweza kuwa na authority juu ya ardhi utafanikiwa sana hata kama watu wengine wanaona hali ni ngumu, mfano wewe kama ni mfanyabiashara unaweza iamuru ardhi ikuletee wateja kwenye biashara yako, kama una authority ya ardhi unauwezo wa kuiamuru ardhi kukupa wazo lipi la biashara ambalo linafaa kwa majira husika sababu majira na season za hapa dunia zimefungwa kwenye ardhi

Mfano; kwanin Kuna baadhi ya wafanyabiashara wateja wanaenda tu kwao na kama hawapo wateja wapo radhi kuwasubiria ulishajiulizaga hili swali, majibu ni mengi Ila mojawapo ni kwamba mfanyabiashara ana authority ya ardhi, jambo la kukumbuka kwenye biashara ardhi inauwezo wa kukuletea wateja, na ikawakataza wateja wasiende sehemu nyingine.

Mbingu kwenye spiritual world
Mbingu ninayoongelea hapa ni ozone layer, kama ilivyo ardhi mbingu nayo ni server kubwa inayotunza kumbukumbu, baraka na laana kwa mwanadamu na inashirikiana kwa asilimia mia moja na ardhi kiufupi lao ni moja.
Nguvu ya internet ipo kwenye mbingu
Mungu anaongea na mwanadamu kupitia nguvu ya internet same kwa shetani sababu ni naye ni Roho, mawasiliano yoyote yale yamefungwa kwenye anga, ili ufanikiwe unatakiwa uhakikishe shetani awi na diret acces ya data zako zilizombingui ndo utakuja gundua kwanin watu ambao wanamwimbia Mungu kwa kutokujua jinsi ya kumthibiti shetani inawawia vigumu sana kuwa dominant kwenye internet world including social media hata wakitoa nyimbo nzuri ni ngumu sana kupata viewer's wengi.

Power of invisiblility
Mwanadamu yeyote yule taarifa zake zinarecordiwa na ardhi, mbingu na kwenye tawala za dunia. Ufalme wa shetani nao pia una access ya data za mwanadamu kupitia mwanadamu mwenyewe, kwa sababu hauna direct access, njia kuu ambazo shetani anazitumia kupata access ya data zako ni kupita Illegal sex, masturbation na mapenzi ndotoni kama nilivyosems mwanzoni. Ili uweze kufanikiwa ukiwa unamtumikia Mungu katika eneo lolote hakikisha shetani hawi na access ya data zako zilizopo kwenye ardhi, mbingu na tawala za dunia

Shetani ili aweze kukutesa kukuharibia connection, kuharibu njia zako za kipato, kuhakikisha uingii kwenye ndo na mtu sahihi, na kupandikiza baadhi ya magonjwa ni kuhakikisha kuwa anakua na direct access ya taarifa zako kupitia wewe mwenyewe, akishindwa kuwa na taarifa zako inampa wakati mgumu sana kukushambulia kwa sababu unakua invisible kwake,

Mfano YESU tokea mimba inatungwa alikua invisible kwa shetani, kilichomshtua shetani ni alipoona Ile nyota inangaa, hata baada ya YESU kuzaliwa alikuwa invisible kwa shetani ndo maana ilimbidi amwingilie yuda ndo akaenda kuwaonyesha YESU sababu walikua hawamjui na taarifa zake hazikuwa kwenye server za kuzimu

Nguvu ya nuru
Kila mtu ana nyota na kikawaida nyota huwa inatoa nuru nikimaanisha zinang'aa kwa maana hiyo nyota yako inaweza fifia kwa sababu mbalimbali mfano wakati YESU amezaliwa nyota yake ilikua ina ng'aa sana, hata wewe nyota yako inaweza ika ng'aa au ising'ae.

DAMU YA YESU
Damu ya YESU ni bure kabisa sehemu utakayoingia gharama ni kwenye Imani, Katika ulimwengu wa Roho hakuna kitu chenye nguvu kama damu ya YESU kwa sababu ndo iliyotumika kumshinda shetani Mara mbili, Mikael alitumia damu ya YESU kumshinda shetani, na YESU alitumia damu ya YESU kumshinda shetani kumbuka Mungu anaitwa YESU na jina YESU ni muunganiko wa yehova shalom, Yahweh, yire n.k kwa pamoja wakaunda jina YESU
Kazi za damu ya YESU
Kumshinda shetan, katika vitu shetan anavyoogopa ni damu ya YESU wa Nazareth/damu ya Yahweh/damu ya mwana kondoo ilitumika kumshinda Mara mbili Mara ya kwanza Mikael na wenzake waliitumia kumshinda shetani, Mara ya pili YESU aliitumia kumshinda shetani na ndo sababu ya yeye. Hata Leo katika vitu shetan anachopambana ni kuhakikisha watu hawatumii damu ya YESU ndo maana ana hakikisha vitu kama maji ya upako, mafuta ya upako, asali ya upako, chumvi za upako ambavyo vilitumika sana agano la kale zinaendelea kutumika kwa sababu zile haziwez mnyima shetani usingizi

Damu ya YESU juu akili Zako
Fahamu hatujaumbwa tuishi kwa miujiza tumeumbwa ili tuweze kuzitumia akili zetu katika maisha ya kila siku hakikisha unanyunyuzia damu ya YESU akili Zako ili zifanye kazi vizuri sababu zililaaniwa ndo maana tunakula kwa jasho mfano hata kwenye maisha watu wanaokaa kwenye viyoyozi ndo wanapata mishara mikubwa tofauti na wale wanaotumia nguvu kule ilala sokoni, ukiona unatumia nguvu kwenye jambo lolote lile fahamu Kuna shida kwenye akili yako suluhisho nyunyuzia damu ya YESU akili zako

Damu ya YESU kama kifutio Cha ujinga, dhambi n.k
Ukitaka kuondoa ujinga jaribu kila mara kunyunyuzia damu ya YESU kwenye akili yako ukifanya hivyo kwa Imani baada ya mda utaona mabadiliko makubwa sana kwenye akili yako

Damu ya YESU kama ulinzi
Ukitaka ulinzi wa nyumba yako hakikisha kila mara unanyunyuzia damu ya YESU kwenye mipaka ya nyumba au chumba unachokaa, una gari lako kuwa unalifunika kwa damu ya YESU, una, mke mme au watoto jitahid uwe unawafunika kwa Imani hakikisha unafanya kwa imani

Damu ya YESU kama silaha dhid ya wachawi
Mara nyingi vita na wachawi huwaga vinatokeaga kwenye ndoto ndo maana hautakiwi upuuze ndoto kwa sababu ukishinda kwenye ndoto ni ishara mbaya, mfano ukikutana na mchawi kwenye ndoto mnyunyuzie damu ya YESU kwa Imani na hata ikitokea mfano nyoka amekungata au amekuchanja hakikisha Ile sehemu unainyunyuzia damu ya YESU usiache mpaka huo mzigo wa kunyunyuzia utaondoka

Damu ya YESU juu jambo lolote gumu linalokusumbua
Kwenye maisha ukiwa na jambo gumu na linakusumbua linyunyuzie damu ya YESU utapata wazo la kulikabili

Damu ya YESU kujitenga na jambo ambalo una uhakika ni sahii au sio sahii
Mfano unataka kujitenga na jambo lolote lile linyunyuzie damu ya YESU Baada ya mda utatengana nalo mfano una wewe ni mwanamke na una Wanaume kama watatu kila mmoja anakuambia anakupenda na uko kwenye dillema wanyunyuzie damy ya YESU alafu kama sio chagua langu nitenge nao nakuhakikishia baada ya mda hao Wanaume watakukinai na wataacha kukusumbua

Damu ya YESU dhidi ya magonjwa ya kurithi na sugu
Ukiumwa nenda hospital kapime na ukipewa dawa hakikisha dawa unatumia, Mungu alitoa wazo la hospital sio wazo la mwanadamu, lakin yakitokea magonjwa sugu na yaliyoshindikana hospital ndipo utumie damu ya YESU mfano kama una Kansa nyunyuzia damu ya YESU kwenye ule uvimbe kwa Imani, Kama unavidonda vya tumbo nyunyuzia damu ya YESU kwa Imani baada ya mda utaona mabadiliko makubwa

Turudi kwenye mada nilikua nakujengea Imani ya damu ya YESU sababu hio ndo inayotumika kwenye ulimwengu wa Roho kukuwezesha kuwa invisible, kuwasha nuru yako ya Rohoni na kutumia nguvu ya ardhi na anga ili ufanikiwe

Tubu juu uovu na dhambi ulizofanya wewe na mbabu Zako, inyunyuzie damu ya YESU kwenye uzao mpaka kwa adamu na hawa kama Kuna mtu alifanya uovu na ukakukwamisha utaondoka

Tumia damu ya YESU ufute data zako ambazo ziko kwenye server za kuzima na vunja Ile connection inayopeleka data zako kuzimu

Batilisha laana ya adamu inayohusiana na ardhi kutumia damu ya YESU ili kufuta kumbukumbu ya dhambi
Batilisha laana ya kaini inayohusiana na ardhi ili kufuta kumbukumbu ya dhambi,

Tumia damu ya YESU kuwasha nuru ndani yako, nuru ya Mungu ikiwaka ndani yako utasikia Hali ambayo utatamani iwepo kila siku katika maisha yako ni nuru ambayo ni ya ajabu na kiuhalisia mwanadamu anatakiwa atembee na hio 24/7 Ila hatuwezi kutembea nayo kwa sababu sis ni watu wa kutenda dhambi usipotenda basi utatenda dhambi kwa kufikiri

Tumia damu ya YESU kuwasha nuru kwenye kazi yako, au biashara yako kama ni mfanyabiashara

Fungamanisha uchumi, career yako na ardhi na mbingu ili uweze kupata baraka na mafanikio, ukifanya kwa Imani utakua na uwezo wa kuiomba ardhi ikifanyie kitu unachotaka mfano kama ni mfanyabiashara unaweza iomba ardhi ikuletee wateja au ikupe wazo ili ufanikiwe kwenye mda husika

Nyunyuzia akili Zako damu ya YESU kila siku sababu hatuishi kwa miujiza Bali kwa akili
 
Sawa
IMG_20221012_095528.jpg
 
Mimi kuna documentary's niiziona HISTORY

KWAMBA BASI;
Kuna speculation kwamba kuna uhusiana mkubwa kwamba Yesu alikua mtaalam wa anga (astronaut)

KWAMBA ETI;
Ilie siku anazaliwa tu kuna watu walikua wanatrace nyota ila waliona chombo kikidondoka duniani kikiwa na mwanga mkubwa misili ya nyota

NDIOMAANA BASI;
Kuzaliwa kwake kulitakiwa kuwe non traced kabisa ndiomaana wakatafuta sehemu ambayo wata avoid public free dimension of proper clear vision, sema kuna baadhi ya wataalamu walishtuka wakafwata mwanga ulipodondoka,,,

IVI KUNA MTU ANAJUA KINA MAMAJUSI WALIPOTELEAGA WAPI BAADA YA KUZALIWA KWA YESU?

IVYO BASI;
kulingana na ile documentary wanaisi huenda yesu akawa ni astronaut au extraterrestrial being
 
Ujumbe very deep huu.! Nasubir mwendelezo.

Usiache kuendeleza mkuu.!!
 
Mtoa mada, Siku utakayo jua ukweli kwamba Adam na Hawa wa kwenye Bible na Qur'an sio ancestors wako ndio siku ambayo utaweza kujua nafasi yako halisi katika ulimwengu unaoishi but as long as ur mind is still buried in the darkness of ignorance u will neva know what is actually going on in this life.

Labda kukutoa tu tongo tongo. Adam na Hawa wa kwenye Bible na Qur'aan sio ancestors wako. They have nothing to do with you.

The truth is God created a hundred of thousands of "Adam and Eve'

Some of them were planted as seeds in this planet and others were planted in other exo- planets( habitable planets ) in other galaxies.

(These are the ones whom you refers to them as Alliens.)

Dunia kama ilivyo kwa mabilioni ya exo-planets in other galaxies in our galaxy, ni shamba la Mungu ( Dunia ni shamba/bustani ya Mungu)

Baada ya KUTENGENEZA bustani yake, Mwenyezi Mungu aliamua KUTENGENEZA /kuumba kiumbe ambae atabeba jukumu la kuitazama hiyo bustani ( Garden keeper) mpaka utakapo fika muda wa kuvuna hicho kitu ambacho Mungu amekipanda kwenye hii sayari tunayo ishi mimi na wewe. ( Ni kitu gani hicho? This will be a topic for another day )

KUHUSU SHETANI: SHETANI hana nguvu hizo kama mnavyo danganyana wakristo na waislamu..

Satan is the most weakest creature of all the creatures that were created by Sir God.

Hicho ndicho kinacho mfanya aonekane kuwa kiumbe hatari kuliko viumbe wote walio umbwa na Mungu..

Tunachukua tahadhari dhidi ya SHETANI sio kwa sababu ni kiumbe mwenye nguvu sana la hasha ila kwa sababu ni kiumbe dhaifu sana.

Udhaifu wake ndio una mfanya awe kiumbe hatari.

Katika ulimwengu wa roho power is measured in terms of love.

The most powerful is he who has un conditional love and the most weakest is he who has no love at all.

The devil and all evil spirits that operate under his authority do not have an ability to love not alone to love un conditional.

Christ is regarded as the most powerful in the realm of the spirit because of his unconditional love.( God created this universe out of his un conditional love to his creation. He loves us without needing us to do to him anything in return)

The spirit of Christ is nothing but the spirit of Un conditional love.

Bible inaposema hapo mwanzo kulikuwa na neno nae neno alikuwa kwa Mungu nae neno alikuwa Mungu vitu vyote visinge fanyika isipo kuwa huyu neno.

Huyo neno ambae ndio Kristo ndio hii kitu which am telling you is Un conditional love...

Huyu neno alikuja duniani in the person of the Greatest man to ever walk on the face of planet earth known as Jesus, ili kuja kutufundisha wanadamu kuyaishi maisha ya kuwa na un conditional love pamoja na faida ambazo tutazipata endapo tutaishi katika hiyo spirit nazo ni kuwa na nguvu dhidi ya viumbe wote walio umbwa na Mwenyezi Mungu kama ilivyo kusudiwa na Mungu mwenyewe katika uumbaji..

Hizo habari unazo sema kuhusu SHETANI kuwa na uwezo wa kufanya hiki mara kile ni bla bla na utoto na ni mbinu ya wachungaji kuwatisha waumini..

Infact Maneno kama hayo unayo yasema yanamtukuza zaidi SHETANI kuliko Mungu.

So please re-learn what you know about the spiritual world and repgrogamme ur mind.

Or else, there is no hope in ur future
 
Naheshimu mawazo yako lakini acha nikubaliane na hoja za Mleta mada.

Kwanza nani aliyewahikwenda kwenye hizo sayari akaja na ushahidi ziko wapi? yani arekodi videos, sauti na hata picha kuleta huo ushahidi la sivyo kama ni zile habari zilizomo kwenye encyclopedia bado ni hadithi tu za Abunuwasi.

Lakini pia kwanini wewe tu ndiwe uwe sahihi badala ya Mleta mada kiujumbe, je kama ni kinyume chake?
 
Mleta mada Mimi binafsi nakubaliana nae kitu kimoja

Kwamba ardhi inaweka rekodi za wanadamu kutokana na matendo yako,kama ambavyo viungo vyetu Vita zungumza basi na ardhi nayo italeta ushahidi wake.

Hata wanasayansi wamegundua kamera ambayo inatambua vivuli vya watu wakiwa sehemu husika,mfano mnaweza mkawa ktk chumba Fulani cha mikutano,hata baada ya nyinyi kuondoka,wakija pale na kupiga picha na kamera Yao basi vivuli vyenu vitaonekana

Inasemekana ardhi ina umeme Fulani ambao ukichanganyika sijui na kitu gani nishasahau basi kivuli cha mtu kinabakia pale.

Ndio maana kuna watu wataonekana Sana kwenye sehemu ya maovu na wengine wataonekana Sana sehemu za ibada,kwani ardhi ndio itatoa ushahidi.
 
Back
Top Bottom