Jifunze kuwakimbia watu wanaopenda kulaumulaumu na malalamiko: Watakuambukiza

Jifunze kuwakimbia watu wanaopenda kulaumulaumu na malalamiko: Watakuambukiza

Hii michezo wanayo boda boda ukishapanda tu lazima ataanzisha mada ya kulalamika utaskia 'yaani huyu mama sijui anatupeleka wapi,umeme tabu maji tabu' nikishaonaga boda kaanza vimada hvyo huwa najifanya kupokea simu ili asiendelee na malalamiko
Suree wanakeraaa sana
 
Mkuu tuwakimbie Vipi watanganyika [emoji28]?,maana wote wanalalamika kuanzia kwa mfalme zumaridi hadi kijana mwokoaji majaliwa
Du!!!!
Hapo ni KUJIFUNZA kusiliza Kwa uchaguzi. Yale ya maana tunchukua, malalamiko unawaachia wanaoyapenda.
 
Haya ndio maisha.
Nilikuwa kwenye kashule flani kijijini. Walimu wakifika wanakaa kijiwe wanaanza kulalamikia kuanzia ngazi ya mwalimu mkuu Hadi rais.
Vipindi hawaingii maana hawajajua matokeo ya malalamiko ni energy dispersion. Wanakuwa hawana morali na hamu na kazi.

Ni ngumu maana ndivyo tulivyokuzwa lakini Mimi unaweza kuona nakuangalia natabasamu kumbe sikungalii na sikusikilizi.
Tuwe na boundary ya hii rascal. Mwalim kiTanzania alalamike tu, anaishi undermargin
 
Back
Top Bottom