Suree wanakeraaa sanaHii michezo wanayo boda boda ukishapanda tu lazima ataanzisha mada ya kulalamika utaskia 'yaani huyu mama sijui anatupeleka wapi,umeme tabu maji tabu' nikishaonaga boda kaanza vimada hvyo huwa najifanya kupokea simu ili asiendelee na malalamiko

Du!!!!Mkuu tuwakimbie Vipi watanganyika [emoji28]?,maana wote wanalalamika kuanzia kwa mfalme zumaridi hadi kijana mwokoaji majaliwa
Kutemga watu wa aina hiy sio Suluhu. Hayo ni dalili nzur kabisa za bipolar, depression au psychosisSiwezi nna yangu na mie nahitaji saidiwa atapelekwa na ndugu zake
Tuwe na boundary ya hii rascal. Mwalim kiTanzania alalamike tu, anaishi undermarginHaya ndio maisha.
Nilikuwa kwenye kashule flani kijijini. Walimu wakifika wanakaa kijiwe wanaanza kulalamikia kuanzia ngazi ya mwalimu mkuu Hadi rais.
Vipindi hawaingii maana hawajajua matokeo ya malalamiko ni energy dispersion. Wanakuwa hawana morali na hamu na kazi.
Ni ngumu maana ndivyo tulivyokuzwa lakini Mimi unaweza kuona nakuangalia natabasamu kumbe sikungalii na sikusikilizi.