Jifunze kuyasemesha magonjwa yenye majina, yanasikia.

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam, Shalom!

Mungu alipomuumba Mwanadamu, aliweka nguvu ya uumbaji ndani yake, ameweka pia mamlaka Katika kinywa kuumba, na kufisha pia KUPITIA kinywa. Tumia kinywa chako kusemesha magonjwa, yanasikia na kutii utakachoyaamuru.

Narudia Tena kusema, ukilala mzima wa afya, ukaamka na kujihisi kuumwa, jua kuna pando lilipandwa ulipolala. Na ndilo likutesalo.

Watu wa Giza hutumia wakati wa usiku kupanda magonjwa Katika mwili ya wanadamu, na wawapo hospitali au Katika kuugua, huja na kuchochea na kuongeza ugonjwa huo mtu alalapo, ndio maana mahospitalini, wagonjwa wengi hufa au kuzidiwa sana wakati wa usiku kuliko mchana.

Ugongwa ni kitu hai kunachoishi, mfano uvimbe ni kitu hai, kinazaliwa, kinakua na kusambaa mwilini.

Kirusi na baktria mbalimbali mwilini ni wadudu kabisa,wanakula, wanakunywa, wanamacho na masikio vile vile.

Pia yapo magonjwa ambayo wala SI virusi wala bakteria, ni mapepo yanajigeuza kuwa magonjwa na KUISHI ndani ya miili ya wanadamu.

Mfano Pana mtu alikuwa anakohoa bila kukoma muda wote akohoa, na hakuzaliwa akikohoa, ilimtokea tu, ghafula akahisi kukereketwa kooni ,alipoanza kukohoa, Hali hiyo iliendelea kwa muda mrefu sana. Alipokutana na nguvu ya Mungu na kuombewa, ugonjwa ukasemeshwa, alitapika dudu washa lililokuwa hai, liliingiaje kooni, ndio yale mapando ya mwovu tunayoyaongelea apandayo mwovu shetani watu walalapo.

Mimi binafsi nilikuwa zamani nikisumbuliwa na mafua na kikohozi sana Kila mwanzo wa msimu wa kiangazi na mwisho wa kiangazi kuingia masika, Kila mwaka kuna miezi Fulani nilikuwa napata taabu sana na nilichukulia ni Hali ya kawaida. Siku moja nikasema na ugonjwa huo, nikauambia, sitaugua Tena mafua na kikohozi mfululizo yajayo kwa njia ya upepo( Pepo). Tangu siku hiyo, sijawahi pata ugonjwa ule uliyokuwa ukinisumbua, naugua Hadi mwezi mzima nashindwa kufanya kazi zangu ,kumbe lilikuwa pando la mwovu, na kwa kuwa nilichelewa kulibaini, niliteseka kwa muda mrefu.

Sasa kwa kuwa magonjwa ni vitu hai, vina macho, miguu, masikio, nk nk vinaweza kusikia.

Semesha ugonjwa wowote unaokutatiza, weka Imani na sema kwa ujasiri, ukatae usikutawale, usiingie na kuweka makazi ndani ya mwili wako kukutesa.

Tumia jina la YESU na damu ya Yesu kusemesha magonjwa yakuache uwe mzima. Tubu kwa kutumia damu ya Yesu kwa magonjwa ambayo yameingia ndani yako KUPITIA laana au makosa ya watangulizi, wazazi waliopita Ili hatia na adhabu hiyo ikome ndani yako.

Ikiwa hujampa Yesu maisha Yako, fuatisha sala hii,

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINA KUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, UZINZI USINISHINDE, UCHAWI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. Amen
 
Kama matumbo ya uzazi husemeshwa na wachawi,

Wakaweza kupanda magonjwa ndani ya mimba, anazaliwa mtoto anakuja na ugonjwa aliopandiwa akiwa tumboni.

Mama mjamzuto, pia unaweza kusemesha tummbo lako, mimba yako ukatae kupokea magonjwa ya kupandwa na watu wa Giza.

Shika tumbo lako , mimba Yako, semesha tumbo lako, linasikia.

Utajifungua salama.

Amen
 
Wazungu walikufa sana na Bubonic plague mpaka alipotikea mjanja mmoja mwenye akili na kuvumbua penicilin sio maombi
Mapadri walikufa sana kwa kuombea wagonjwa, mpaka waka wanajificha wasitafutwe kuombea.....
 
Mchawi mmoja akakaa kiringeni kwenye kiti na kutamka,

Nakutuma Pepo mchafu, nenda kwa mtu yule( akamtaja jina),

Nenda jigeuze ewe Pepo uwe chuma, nenda kakae kwenye mguu wake, asiweze kutembea.

Mtu yule aliyetamkiwa maneno Yale, alikuwa amelala usingizi,

Alipoamka asubuhi, akajaribu kushusha mguu aende kujisaidia, hakuweza, mguu ulikakamaa, ukawa ngumu, haujikunji, maumivu alipata makali mno,

Hakujua kilichotokea alipolala, kumbe wabaya wakaweka chuma ndani ya mguu.

Semesha ugonjwa wowote wenye jina, utakusikia na kukutii kwa Jina la YESU.

Aamen
 
Wazungu walikufa sana na Bubonic plague mpaka alipotikea mjanja mmoja mwenye akili na kuvumbua penicilin sio maombi
Mapadri walikufa sana kwa kuombea wagonjwa, mpaka waka wanajificha wasitafutwe kuombea.....
Hujawahi kusikia daktari awaambia ndugu wa mmgonjwa kuwa,

Tumepima vipimo vyote, hatujaona ugonjwa?
 
Hakika hakuna ugonjwa husiopona ukiwa na imani.Kemea na utapona.Hata cancer ukiikataa haiji au inapona .
 
Madawa ya kulevya ni Hatari Kwa jamii
 
Salaam, Shalom!

Mungu alipomuumba Mwanadamu, aliweka nguvu ya uumbaji ndani yake, ameweka pia mamlaka Katika kinywa kuumba, na kufisha pia KUPITIA kinywa. Tumia kinywa chako kusemesha magonjwa, yanasikia na kutii utakachoyaamuru.

Narudia Tena kusema, ukilala mzima wa afya, ukaamka na kujihisi kuumwa, jua kuna pando lilipandwa ulipolala. Na ndilo likutesalo.

Watu wa Giza hutumia wakati wa usiku kupanda magonjwa Katika mwili ya wanadamu, na wawapo hospitali au Katika kuugua, huja na kuchochea na kuongeza ugonjwa huo mtu alalapo, ndio maana mahospitalini, wagonjwa wengi hufa au kuzidiwa sana wakati wa usiku kuliko mchana.

Ugongwa ni kitu hai kunachoishi, mfano uvimbe ni kitu hai, kinazaliwa, kinakua na kusambaa mwilini.

Kirusi na baktria mbalimbali mwilini ni wadudu kabisa,wanakula, wanakunywa, wanamacho na masikio vile vile.

Pia yapo magonjwa ambayo wala SI virusi wala bakteria, ni mapepo yanajigeuza kuwa magonjwa na KUISHI ndani ya miili ya wanadamu.

Mfano Pana mtu alikuwa anakohoa bila kukoma muda wote akohoa, na hakuzaliwa akikohoa, ilimtokea tu, ghafula akahisi kukereketwa kooni ,alipoanza kukohoa, Hali hiyo iliendelea kwa muda mrefu sana. Alipokutana na nguvu ya Mungu na kuombewa, ugonjwa ukasemeshwa, alitapika dudu washa lililokuwa hai, liliingiaje kooni, ndio yale mapando ya mwovu tunayoyaongelea apandayo mwovu shetani watu walalapo.

Mimi binafsi nilikuwa zamani nikisumbuliwa na mafua na kikohozi sana Kila mwanzo wa msimu wa kiangazi na mwisho wa kiangazi kuingia masika, Kila mwaka kuna miezi Fulani nilikuwa napata taabu sana na nilichukulia ni Hali ya kawaida. Siku moja nikasema na ugonjwa huo, nikauambia, sitaugua Tena mafua na kikohozi mfululizo yajayo kwa njia ya upepo( Pepo). Tangu siku hiyo, sijawahi pata ugonjwa ule uliyokuwa ukinisumbua, naugua Hadi mwezi mzima nashindwa kufanya kazi zangu ,kumbe lilikuwa pando la mwovu, na kwa kuwa nilichelewa kulibaini, niliteseka kwa muda mrefu.

Sasa kwa kuwa magonjwa ni vitu hai, vina macho, miguu, masikio, nk nk vinaweza kusikia.

Semesha ugonjwa wowote unaokutatiza, weka Imani na sema kwa ujasiri, ukatae usikutawale, usiingie na kuweka makazi ndani ya mwili wako kukutesa.

Tumia jina la YESU na damu ya Yesu kusemesha magonjwa yakuache uwe mzima. Tubu kwa kutumia damu ya Yesu kwa magonjwa ambayo yameingia ndani yako KUPITIA laana au makosa ya watangulizi, wazazi waliopita Ili hatia na adhabu hiyo ikome ndani yako.

Ikiwa hujampa Yesu maisha Yako, fuatisha sala hii,

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINA KUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, UZINZI USINISHINDE, UCHAWI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. Amen
Pongezi kwako kwa andiko zuri linaloelimisha
 
Hakika hakuna ugonjwa husiopona ukiwa na imani.Kemea na utapona.Hata cancer ukiikataa haiji au inapona .
Cancer ina masikio,

Ni kusemesha tu.

Mungu atusaidie, Imani uongezeke.

Tushunde magonjwa yasumbuayo wanadamu.
 
Sasa ikiwa mbajua ni hatari kwa watoto wa maskini,

Kwanini ndiyo biashara haramu kubwa kwenu?
No haramu na imelaaniwa

Sisi hatuwezi kamwe kufanya biashara hiyo

Unless hujui unaongea nini
 
Kwamba hujui kuwa ugonjwa una jina hivyo unasikia?

Utakua lini kuyaelewa hayo?
 
Wachawi wanapomlisha mtu nyama ya maiti akiwa usingizini,

Huu ni uharibifu ndani ya mwili, Mungu alikataa binadamu kuliwa nyama.

Tumbo lazima likatae kitu hii, ndipo uvimbe hutokea,

Na Katika macho ya mwili, doctors wataona cancer, na kupooza kutaendelea.

Suluhu hapa ni kusema na tumbo, sema na tumbo lifarakane na ugonjwa, sema nallo likatae huo ugonjwa,

Utaona mabadiliko, tamka, Tena na Tena kwa Imani.

Aamen
 
Back
Top Bottom