Nilishapika lakini sikuanza kwenye jiko niloweka kwenye ovena straight.Uliiza vizuri lakini chini ilikia mgumu sana
Ulisaga vizuri mchele?....
Hadi ukawa laini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilishapika lakini sikuanza kwenye jiko niloweka kwenye ovena straight.Uliiza vizuri lakini chini ilikia mgumu sana
Samahani shost kuuliza sio ujinga...hiii keki au mkate....
Samahani shost kuuliza sio ujinga...hiii keki au mkate....
Hii ni cake mkuu. Kama unasikiaga 'meat loaf' usije ukadhani utakuta ngano humo!
Keki kakuambia nani? Huu ni mkate wa mayai....
Duh! mimi nimejuwa ni keki vile unavyoonekana kwenye picha na mahitaji yake, kumbe sponge cake ya kiswahili ni tofauti na sponge cake ya kiingereza?! ahsante kwa kunisahihisha
Ni mkate...
Inaonekana km keki
Hivi naweza nikaweka amira kwenye keki inakuwaje???
Unaweka amira kwenye cake na ndivyo ulaya walivyozoea kumbe huku tunapenda zaidi Baking powder/Soda na Bicarbonate of soda. Nilikuwa na bosi wangu mmoja muitaliano pande za mafia alikuwa akichukia sana kuona hatutumii amira kwenye keki.
Hivi naweza nikaweka amira kwenye keki inakuwaje???
ndio chai ya saa 10 lol!!! hahahahahah maarufu sana kwa Waingereza...Mie niko bomba sana namshukuru Mungu naingia mtaani in few mins nikaoshe macho na shopping za maandalizi ya Xmas na mwaka mpya kabla ya kuja kuangalia mchapo kati ya Arsenal na Chelsea. Ijaribu siku moja chai ya saa 10 nadhani utaipenda ila aste aste🙂🙂 usije kushindwa kula supper/dinner.
Na mimi ntaanza kuweka amira aisee
Mwenzio hiyo shopping usinisahau walau kibaio cha nywele nami nipendeze....
Hiyo saa 10 ntakunywa usingizini maana ikifika saa 9 kama sijalala nakua kama teja lol....