Mhhhhh!!!! umeshawaona mateja weye!!!! shauri yako!!! wanavyo anza kuhangaika pale wakosapo kile kipenda roho basi huwa hawatulii kabisa mpaka utawaonea huruma. Kibanio tu cha nywele umepata cha rangi gani?
Brown au purple....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhhhh!!!! umeshawaona mateja weye!!!! shauri yako!!! wanavyo anza kuhangaika pale wakosapo kile kipenda roho basi huwa hawatulii kabisa mpaka utawaonea huruma. Kibanio tu cha nywele umepata cha rangi gani?
Je kwa chai ya usubui haifai eeeeh. Sikukuu hii utautayarisha au utaula kwa pichaaaaa.
Naomba uniweke kwa uliopanga kuwapa mizawadi ya xmass lol!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:happy::happy::happy::happy::happy:ndio chai ya saa 10 lol!!! hahahahahah maarufu sana kwa Waingereza...Mie niko bomba sana namshukuru Mungu naingia mtaani in few mins nikaoshe macho na shopping za maandalizi ya Xmas na mwaka mpya kabla ya kuja kuangalia mchapo kati ya Arsenal na Chelsea. Ijaribu siku moja chai ya saa 10 nadhani utaipenda ila aste aste🙂🙂 usije kushindwa kula supper/dinner.
Hahahahahaha haya ntaandaa nkukaribisheUnafaa sana tena chai ilokolea tangawizi....
Hahahahahaha haya ntaandaa nkukaribishe
Je kwa chai ya usubui haifai eeeeh. Sikukuu hii utautayarisha au utaula kwa pichaaaaa.
Ahsante sana farkhina, nikutakie maandalizi mema ya sikukuu.
Asante mwaya ntajaribu
Hahahahahahahaha kupika najifunza kwa farkhina ndugu yangu . Hapa najiuliza haya mayai sijui niamue tu kuyalipua hivyo hivyo manake sina uhakika kama vitatoka khaaa. Unajua yale mapishi mengine bado nahangaika nayo sijaweza kutoa vya kueleweka lkn sikati tamaa mpaka kieleweke.LoL!!!! Mie najua kukorofisha misosi michache tu, haya ya kucheza na unga wa ngano siyajui kabisaa, labda nitoe order kwako au kwa farkhina 🙂🙂, lakini kusema kweli mie vitu vya sukari si mpz sana ila vitu kama sambusa, bajia, kabab hapo ndio ugonjwa wangu. Nasikia huchukui order ndogo ndogo 🙂🙂 haya niambie order yako inaanzia mikate mingapi? Ili nami nijinome sikukuu hii