Thanx farhina kwa pishi hili. Mimi limenipita upande ingawa nalipenda.
Sasa hapo kwenye baking powder ni option au lazima, coz nakumbuka kama huweki.
Na badala ya handmixer naweza kutumia mchapo?
Thanx again dear
BP ni lazima, otherwise haiwezi fura mkate labda uwe unatumia self raising flour then you dont need. hebu tumsubiri farkhina

Fadhili Paulo umetisha
BHULULU mimi49, amu King'asti choxs Swts,@ ennie Angel Nylon afro -arabica BAK MziziMkavu Heaven on Earth BelindaJacob shansarie Fixed Point Ablessed SHERRIF ARPAIO na wengine
nmeiyona bibie
Asante kwa kuniitia haya mapishi....
mwaka mpya oyeeeeee....
karibuni kwangu
Naomba kuuliza, hicho kikombe ni kikombe gani? Mug au cup? Manake naon amayai mengi kweli.
Farkina mimi mwenyewe nilikuwa najua cake "sponge cake" ambayo ratio yake inakuwa sawa kwa karibia ingridients zote.nimeona tofauti kwenye baking powder ndo nikajua mkate maana ile keki haitumii raising agent yoyote mayai ndo yana act kama raising agent yanapopigwa hadi kutoa povu
Thanx farhina kwa pishi hili. Mimi limenipita upande ingawa nalipenda.
Sasa hapo kwenye baking powder ni option au lazima, coz nakumbuka kama huweki.
Na badala ya handmixer naweza kutumia mchapo?
Thanx again dear
Haiwezekani hicho kinachotokana na ingredients ulizozitaja kiitwe 'mkate wa sembe' wakati ngano ni 50% na sembe 50%, halafu 'sembe' inatoa ugali na 'ngano' inatoa mkate. Hivyo huo sio mkate wa sembe bali ni mkate wenye sembe ndani yake kwa maana ngano ndio inafanya uitwe mkate.
Kwa kifupi huko ni kula ugali wenye ngano ndani yake, na kama unauzwa madukani na mahotelini ni wizi mtupu.
Mhhhh! Sikuwahi kujua kama unga sembe unaweza kutumika katika kutengeneza mkate mie nilidhani kama ni kutengeneza mkate basi ni lazima uwe unga ngano. Ahsante sana Best kwa kushare utaalamu wako mtaa wa maakuli.