NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Ha ha ha tunapeleka ubishi kama huu kwenye mambo ya wazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha tunapeleka ubishi kama huu kwenye mambo ya wazi.
Nimesema, Hawa warusi sio watu hawa.Nenda kawaulize Napoleon Bonaparte na Adolf Hitler kuhusu Russia
Desperate.Mpaka leo mjerumani analia.Zelensky ameitumbukiza nchi kwenye janga ambalo sasa linazimaliza mpaka nchi za Ulaya.
Angalia hapo chini alivyoachwa mpweke kwenye mkutano wa NATO.
Uanachama alioutaka na sijui kwa faida ya nani kaambiwa bado mpaka ashinde vita.
View attachment 2690409
Nahiyo niliyozungumza hapo nilugha nyepesi mno, Qatar nabaadhi ya nchi zakiarabu zinahela uchumi wao uko vzur nahela yao inathamani Zaid yadola Ila uwezo wao wakivita ukoje??Hiyo ni lugha nyepesi ya kukuambia mtu kama wewe usielewa na wala huwezi kuelewa yaani vita inataka hela au uchumi imara. Putin anauza vitu vichache sana nje. Kabla ya vita dola 1 us ilikuwa sawa na r55 za urusi leo hii us1. = 92. Yaani watu wa kawaida wana hali mbaya. Ila ninavyohisi wewe hizi ni lugha ngumu kuelewa. Eti putin anaachia silaha kidogo kidogo. Hizo kinzal vip ni silaha ndogo. Ni moja wapo ya silaha anazotegemea putin na alisema hakuna nchi inayoweza kutengeneza.
Sisi wote tuko buza hapa bongo.
Huyo hitler alikuwa na uchumi imara vipi weww mbona unachekesha
Sahihi kabisa.Kwa ufupi Urusi ina uzoefu wa kupigana vita virefu na hatimae kushinda kuliko mataifa kama Marekani na nchi za Ulaya.
Kwa uzoefu huo hata aina za silaha wanazotumia huwa wanazitoa hatua kwa hatua kulingana na muda.
Mfano kwa sasa wakati Marekani imekubali kuipa Ukraine mabomu ya cluster.Putin kasema wanayo mengi sana Ukraine wakianza basi wao watamaliza.