Jifunze namna ya kuitega pesa

Jifunze namna ya kuitega pesa

Mengi Ayoub

Member
Joined
Apr 20, 2022
Posts
56
Reaction score
46
Habari wakuu... Kwanza kabisa inatakiwa tuelewe kuwa kuna tofauti Kati ya kutengeneza pesa na kutafuta pesa. Mimi na wewe tunajua namna ya kutafuta pesa lakini watu matajiri wanajua namna ya kutengeneza pesa.

Tofauti ya kutengeneza pesa na kutafuta pesa ni kuwa pesa haitaki kuonwa wala kukamatwa, kwahiyo pesa siku zote hujificha. Na ili uweze kufanikiwa kuikamata ni lazima ujifunze kuitega hiyo pesa kwa kutumia vifaa vinavyoitwa "vitega uchumi"

Watu matajiri wao wanatumia mitege ili kuikamata pesa yaani hata wasipofanya kazi pesa inaendelea kuingia. Lakini watu maskini wanategemea akili zao walizofundishwa darasa I...

Ili kufanikiwa inabidi tuwe na vitega uchumi.
 
Kuna tego la pesa likiwekwa sokoni hilo utakuta soko zima lina chuma ulete.

Usione wazee wanacheza bao 24/7 ukafikiri ni bure bure tu

Huo nao ni mtego wa Pesa
😃 Sikupingi mkuu, hiyo Hali ilinitokeaga mahali fulani mpka nikajutia mtaji wangu
 
Mbona heading haiendani content?,"umesema jifunze namna ya kutega pesa"toa solution basi
 
Back
Top Bottom