Jifunze namna ya kutengeneza sabuni za maji, kufulia, shampoo, sabuni za miche na chooni

mkuu, ni chemical gani inayowekwa kwenye sabuni ya mche inayosababisha iwe na uwezo wa kutakatisha nguo kuliko sabuni za nyingine za mche za makampuni mengine
Sodium hydroxide ( NaoH) au wanaita caustic soda....nilikua nanunua kigoma mfuko ni 24000 wa kilo 25kg
 
Vipi nifahamishe kuhusu utengenezaji wa spirits,after shave pia na sabuni ya maji itakayotumika carwash.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ahsante sana
 
Vitu vyenye daraja ya juu always hukariwa na wachache...thats nature
 
Asante sana, una moyo mkuu,
Alihamdulilah hapa wapo watakaojiajiri.
 
Shukran Sana mtoa mada
 

Umewahi kutest hizi sabuni toka huko Burundi ?
 

Attachments

  • 20221120_181150.jpg
    863.7 KB · Views: 84
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…