JIFUNZE: Tengeneza Mwili wa chini bila kuingia Gym

Kutaneni mfanye zoezi pamoja wadau.
Mkuu, nahisi tuko mbali sana make mi mwenyewe nipo kanda ya ziwa. Alafu mkuu mm diet yangu ya kawaida inaendelea na sina uhakika kama naweza lazimisha kula zaidi ya hapa. Kifua na mikono vitapanuka kweli?
 
Kama diet ni hivyo ukiingia gym usipige uzito mkubwa uzito wako uwe wastani tu utapata effects unazozihitaji mkuu ingawa hazitakua sawa na kama ungeongeza msosi.
 
Sasa njia gani nizitumie ile niweze kula sana? Maana najaribu kulazimisha ila inashindikana
 
Chief ukianza zoezi kula mara nne weka kwamba kula kwako kila baada ya saa fulani, na uwe unakula kwa portion usile kama vile ndiyo funga kazi.

Pia badili mentality anza kuchukulia chakula kama dawa.
 
Asante Castr niameanza push up za aina zotr wiki ya pili sasa naanza kuona biceps zangu zinajaa na nataka nitenge vyuma ya uzito wa kunyanyua mkono mmoja uzito wa wastani
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] pamoja sana mkuu.
 
Uzi uko bomba sana vipi kuhusu whey protein powder ziko vizuri au nimajanga tu? msaada
 
Samahani nimechelewa kuona post yako.

Whey protein ziko poa ila hakikisha unaipata OG na unaitumia kama inavyotakiwa. Na kwa kadri ninavyojua hizi ni tofauti na steroids na mega mass hivyo hii haitakua replacement ya hivyo viwili nilivyotaja.
Local gym huku kuna watu waliuziwa unga wa biskuti umechanganywa na ulezi na sukari wakadanganywa ni whey protein.
 
Nimetoka kujog mida hii Leo siku yangu ya jogging tu kesho mapumziko jumatatu push up za kufamtu na chuma .

Sitotumia dawa hivi hivi hadi mwilj ukubali
 
Ratiba bomba sana mkuu vitu vitakubali tu...
 
Mku zoezi gani la kupunguza tumbo?
Bonyeza username ya Castr, nenda kwenye posts utakuta uzi unasema 'Unataka tumbo flat na six packs? Cheki hapa'

Kuna mazoezi nimeyaonesha naaamini yatakupa mwanga.
 
Squats ukifanya Mara kwa Mara unajiandalia matatizo ya Magoti na uteute kwny Maungio ( joints) ya Miguu
Ukiweka heavyweight sn na ukikosea jinsi ya kupiga hlf ukawa unakula upuuzi upuuzi...
 
Hivi ni kwa nini mtu akifanya mazoezi ya Kujenga mwili aka acha huwa anapungua sana, na je haiwezekan kuacha na kumaintain body?
Me nataka nianze mazoezi lakini kuna kipindi ntakuwa na shughuli nyingi hivyo ntashindwa kuwa na ratiba ya mazoezi, wanishauri nini hapo?
Fremu haiishi mkuu na ukishatoka ukirudi ht week 2 mwili unarudi faster so kwanza tafuta mwili...mkubwa thn fremu itakubeba hadi uzeeni
 
Samahani nimechelewa kuona post yako.

Whey protein ziko poa ila hakikisha unaipata OG na unaitumia kama inavyotakiwa. Na kwa kadri ninavyojua hizi ni tofauti na steroids na mega mass hivyo hii haitakua replacement ya hivyo viwili nilivyotaja.
Local gym huku kuna watu waliuziwa unga wa biskuti umechanganywa na ulezi na sukari wakadanganywa ni whey protein.
Asante sana mkuu, labda kwa kuongezea uelewa wako nikitumia whey protein ili mwili ukae vizuri nichanganye na steroid au mega mass?
 
Back
Top Bottom