Vitu vizuri, nlipata maumivu ya viungo nikapumzika zoezi kwa miezi kadhaa, sasa nipo vizuri nataka nianze tena
Kutaneni mfanye zoezi pamoja wadau.Mkuu mm niliteguka misuli ya mkono wa kushoto, sasa baada ya kupata matibabu na maumivu kuisha nataka nianze upya
Mkuu, nahisi tuko mbali sana make mi mwenyewe nipo kanda ya ziwa. Alafu mkuu mm diet yangu ya kawaida inaendelea na sina uhakika kama naweza lazimisha kula zaidi ya hapa. Kifua na mikono vitapanuka kweli?Kutaneni mfanye zoezi pamoja wadau.
Kama diet ni hivyo ukiingia gym usipige uzito mkubwa uzito wako uwe wastani tu utapata effects unazozihitaji mkuu ingawa hazitakua sawa na kama ungeongeza msosi.Mkuu, nahisi tuko mbali sana make mi mwenyewe nipo kanda ya ziwa. Alafu mkuu mm diet yangu ya kawaida inaendelea na sina uhakika kama naweza lazimisha kula zaidi ya hapa. Kifua na mikono vitapanuka kweli?
Sasa njia gani nizitumie ile niweze kula sana? Maana najaribu kulazimisha ila inashindikanaKama diet ni hivyo ukiingia gym usipige uzito mkubwa uzito wako uwe wastani tu utapata effects unazozihitaji mkuu ingawa hazitakua sawa na kama ungeongeza msosi.
HahahahahMkuu hili zoezi nawaona wadada wanaopenda kuongeza makalio,wanafanya sana je haitaleta tabu kwa wanaume, ukajikuta kalio linainuka
Chief ukianza zoezi kula mara nne weka kwamba kula kwako kila baada ya saa fulani, na uwe unakula kwa portion usile kama vile ndiyo funga kazi.Sasa njia gani nizitumie ile niweze kula sana? Maana najaribu kulazimisha ila inashindikana
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] pamoja sana mkuu.Asante Castr niameanza push up za aina zotr wiki ya pili sasa naanza kuona biceps zangu zinajaa na nataka nitenge vyuma ya uzito wa kunyanyua mkono mmoja uzito wa wastani
Poa poa mkuu[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] pamoja sana mkuu.
Samahani nimechelewa kuona post yako.Uzi uko bomba sana vipi kuhusu whey protein powder ziko vizuri au nimajanga tu? msaada
Ukiweka heavyweight sn na ukikosea jinsi ya kupiga hlf ukawa unakula upuuzi upuuzi...Squats ukifanya Mara kwa Mara unajiandalia matatizo ya Magoti na uteute kwny Maungio ( joints) ya Miguu
Fremu haiishi mkuu na ukishatoka ukirudi ht week 2 mwili unarudi faster so kwanza tafuta mwili...mkubwa thn fremu itakubeba hadi uzeeniHivi ni kwa nini mtu akifanya mazoezi ya Kujenga mwili aka acha huwa anapungua sana, na je haiwezekan kuacha na kumaintain body?
Me nataka nianze mazoezi lakini kuna kipindi ntakuwa na shughuli nyingi hivyo ntashindwa kuwa na ratiba ya mazoezi, wanishauri nini hapo?
Nimekuelewa mkuu, ntafanyia kazi hii kitu.Fremu haiishi mkuu na ukishatoka ukirudi ht week 2 mwili unarudi faster so kwanza tafuta mwili...mkubwa thn fremu itakubeba hadi uzeeni
Asante sana mkuu, labda kwa kuongezea uelewa wako nikitumia whey protein ili mwili ukae vizuri nichanganye na steroid au mega mass?Samahani nimechelewa kuona post yako.
Whey protein ziko poa ila hakikisha unaipata OG na unaitumia kama inavyotakiwa. Na kwa kadri ninavyojua hizi ni tofauti na steroids na mega mass hivyo hii haitakua replacement ya hivyo viwili nilivyotaja.
Local gym huku kuna watu waliuziwa unga wa biskuti umechanganywa na ulezi na sukari wakadanganywa ni whey protein.