Jifunze TENSES hapa

La pili, sijasema mtenda na mtendwa ni kitu kimoja ila nimesema inaweza kuwa vyovyote, mtendwa au mtendewa na ndio lilikuwa swali la niliyekuwa namjibu naona unaleta maelezo mareefu
 
Sasa, kwani kuna haja ya kukonda hapa ndugu? Si ubaki na msimamo wako tu? Tufanye hivi, mimi nimejidai kukukosoa kumbe upo sahihi. Basi nabaki na haka kaujinga kangu na wewe unabaki na werevu wako. Unaniacha nahangaika na ulimwengu.

Hapo vipi?
 
Sidhani kama tuko tofauti ila tunaongea kitu kimoja tatizo ni kwamba hatuelewani. Wewe haukunielewa niliposema mtendwa na mtendewa ni sawa ukanijibu bila kujua nilikuwa namaanisha nini. Mimi nilimaanisha ile 'me' inaweza kusimama vyovyote either kama mtendwa au mtendewa. Anyways sote tunajifunza sidhani kama kuna mwerevu wala mjinga hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…