Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
La pili, sijasema mtenda na mtendwa ni kitu kimoja ila nimesema inaweza kuwa vyovyote, mtendwa au mtendewa na ndio lilikuwa swali la niliyekuwa namjibu naona unaleta maelezo mareefuNdugu, pale ulisema vyote, mtendwa na mtendewa ni sawa. Hiki ndicho nilichopinga, ndiyo maana wanasarufi wakaja na hoja ya direct object na indirect object. Katika sentensi
Y bought K a car.
Huyo atakaepokea gari, K ni mtendewa(indirect object) na gari ni kitendwa(direct object). Huu ndiyo utofauti nilitaka kuubainisha. Aidha, Y atabaki kuwa mtenda wa jambo, ameitenda gari(yani kainunua) na amemtendea K jambo (yani kamnunulia gari K)