Unapofika Fuel station pump huwa zinaandikwa majina ya aina ya Fuel.Hivi protokali ya kuweka mafuta ikoje?
Unafungua tank unamwaga mafuta na kusafisha pump.... Then mziki unaendelea....Kwa ishu kama iliyomtokea mleta uzi gharama za kuclear tatizo zinaweza kufika kiasi gani.
Nauliza kwaajili ya kupata maarifa tu.
Dah...siku ukiimiliki nishtue..nikurekebishie...kuna kakitu kadogo wazungu wamekasahau....utafurahi maisha yako yote [emoji1787][emoji1787][emoji2960]Poleni sana mimi nilishasahau mambo ya mafuta. I just go green and electric with my Telsa model X (ila natamani tu kuimiliki)
Unachosema ni kweli kabisa.Unapofika Fuel station pump huwa zinaandikwa majina ya aina ya Fuel.
Huwezi kuta pump ya diesel imeandikwa petrol and viceversa. Na wewe mwenye gari unawajibu wa kutazama hilo. Kuna gari hutoka modeli moja ila zinatumia mafuta tofauti.
Mfano Prado, descovery etc, zipo za petrol na za diesel. So wewe unawajibika kwanza na gari lako kulingana na unavyolijua. Ukiipaki pampu ya pefrol it means unataka uwekewe petrol, ukiipaki kwenye diesel inamaana unataka uwekewe diesel......
Why unalaumu petrol station attendants....
Dah....kwa gari ya dizeli ukiweka petrol madhara ni makubwa kuliko ya petroli kuweka dizeli....Kwa ishu kama iliyomtokea mleta uzi gharama za kuclear tatizo zinaweza kufika kiasi gani.
Nauliza kwaajili ya kupata maarifa tu.
Gari yangu ya diesel na nikawekewa petroli, nimewekewa mara mbili!
Nimeapa kutorudi kuweka mafuta hapo.
Kuna katatizo hapa.
Na manager aakawa mbishi na kusema ni shauri lako!
Sijui EWURA wanasemaje hapo.
Nimesikia Kwamsisi huko Handeni, kuna waganga 6000. Wasani kila nyumba ina fundi. Nenda huko kawavimbishe vitenesi. Yani wewe unapaki kwa pampu ya dizeli, wao kimiujiza wanaipeleka pampu ya petroli. Shxz sana (kwa sauti ya Atwoli)Gari yangu ya diesel na nikawekewa petroli, nimewekewa mara mbili!
Nimeapa kutorudi kuweka mafuta hapo.
Kuna katatizo hapa.
Na manager aakawa mbishi na kusema ni shauri lako!
Sijui EWURA wanasemaje hapo.
View attachment 1827601
Dah....kikawaida.... kama EWURA wakiacha kuangalia zaidi makusanyo ya fedha kutoka katika vituo....na wakaamua kutoa elimu na kusimamia kwa Malini uendeshaji wa vituo hivi....basi ujinga kama huu no nadra kutokea....Gari yangu ya diesel na nikawekewa petroli, nimewekewa mara mbili!
Nimeapa kutorudi kuweka mafuta hapo.
Kuna katatizo hapa.
Na manager aakawa mbishi na kusema ni shauri lako!
Sijui EWURA wanasemaje hapo.
View attachment 1827601
Dah....isije kuwa kamtokea binti mmoja pale...akatolewa mbavuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jieleze vizuri mkuu, uzi mwepesi sana
PUMA au Total ni poaGari yangu ya diesel na nikawekewa petroli, nimewekewa mara mbili!
Nimeapa kutorudi kuweka mafuta hapo.
Kuna katatizo hapa.
Na manager aakawa mbishi na kusema ni shauri lako!
Sijui EWURA wanasemaje hapo.
View attachment 1827601
Hahaha itakuwa aisee, alafu eti mara mbiliDah....isije kuwa kamtokea binti mmoja pale...akatolewa mbavuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kukubali uzembe si kosa ,hilo nakubali , na sitarudia uzembe wa kujaza mafuta pale Victoria.Naliona tatizo kwa mleta uzi. Inaonekana ana uzembe au ni mgeni na magari
- Fuel pump zote zina lebo why uende kwenye pampu ya petroli
- Ukifika kituo cha mafuta, hatua ya kwanza huwa ni kuzungumza na mhudumu juu ya kiasi na bei. Mleta uzi huwa unajaza automatically bila majadiliano na muuzaji!? Na kama ulijadiliana nae hizo mara mbili ulishindwa vipi kutaja bei na kusisitiza aweke Dizeli.
- Rekodi ya vituo vya Victoria Service Stations vilivyosambaa hapa Dar ni safi kuanzia kwenye usafi wa mafuta hadi services za magari. Victoria ni kituo pekee cha mzawa kinachotoa huduma bora sana ya car services na fuelling. Wewe unaonekana una ulimbukeni fulani kwenye magari kama sio wale wa roho za kichawi za kuchafua biashara za watu.
- Uzi wako hauwezi kusababisha any negative impact kwa Victoria, hadi hapa naandika hizi comments majority wameona wewe ni mzembe tu kama wazembe wengine
- Siku nyingine uwe makini, acha uzembe
Wewe kajamaa sio Bure Kuna kitu cha ziada..hii story ya Diesel Na Peteol Ni kisingizio Tu lakini una chuki zako binafsi Na Victoria em weka waziKukubali uzembe si kosa ,hilo nakubali , na sitarudia uzembe wa kujaza mafuta pale Victoria.
Pump attendants very unprofessional, na ni visichana ni dhahiri vimetoka shamba majuzi.
Victoria vitu mko vizuri?
Kituo panavuja wakati wa mvua kama nyumba ya nyasi!
Mzawa ni vizuri kumpa tafu, lakini sio kwa risk ya uzembe wa pump attendant na dharau za manager wake.
Na endeleeni kudharau wateja wenu.
Anaye kudharau mteja ujue biashara hiyo ni tegesha tu, Ana biashara nyingine.
huyu bwana mdogo ana mambo yake mengine na inaonekana ni masuala ya mapenzi. hiyo ya mafuta ni geresha tuWewe kajamaa sio Bure Kuna kitu cha ziada..hii story ya Diesel Na Peteol Ni kisingizio Tu lakini una chuki zako binafsi Na Victoria em weka wazi
Ya mapenzi nakuachia wewe babaangu uliye na dhakari mbili, maana unaiona dunia kwa macho ya makalio ha mabibi tu.huyu bwana mdogo ana mambo yake mengine na inaonekana ni masuala ya mapenzi. hiyo ya mafuta ni geresha tu
Mkuu ni kweli nili udhika sana hasa dharau za yule manager dhidi ya malalamiko yangu, na nilimjahidi kuyaweka wazi haliyotokea, mimi mdau wa habari.Wewe kajamaa sio Bure Kuna kitu cha ziada..hii story ya Diesel Na Peteol Ni kisingizio Tu lakini una chuki zako binafsi Na Victoria em weka wazi
Buyer beware, ni vema umewatahadharisha wengine.Ndio maana anawatahadharisha wengine.
Watu wengi hawalalamiki walipata matatizo.
Kwani una shares kituo hicho au unakitetea kwa nguvu kubwa kwa vile ni wa kabila lako?huyu bwana mdogo ana mambo yake mengine na inaonekana ni masuala ya mapenzi. hiyo ya mafuta ni geresha tu