Jihadhari na hiki kituo cha mafuta cha Victoria

Ukisoma huu uzi tangu mwanzo na kupitia zaidi maoni ya mleta mada kwa undani utagundua tu huyu ndugu ana lake jambo. Kwanza hicho kituo alichokitaja pampu za petroli zipo upande tofauti na zilipo pampu za dizeli halafu anasema amewekewa mafuta tofauti mara mbili. Kiufupi tu itoshe kusema kuwa huyu mleta mada ameamua tu kumharibia Victoria biashara yake. Wasiwasi wangu mkubwa huyu jamaa aidha anafanya kazi au ana miliki kituo cha mafuta jirani ya kilipo hicho kituo cha Victoria na hakina wateja kama Victoria kwa hiyo ameamua kumfukuzia jamaa wateja wake anasahau kuwa Victoria ameshajenga "goodwili na bond" kubwa na wateja wake kwa miaka mingi.

Mlete mada kajichanganya sana kiasi unaona kabisa huyu jamaa hamiliki gari na hata kama alienda na gari kituo cha mafuta basi aliazima kwa rafiki yake au ndugu yake. Kwa mmiliki wa gari hawezi kabisa kwenda kuweka gari lake kwenye pampu tiofauti ya mafuta linayotunia gari lake halafu tena mara mbili kituo hicho hicho. Uongo mwingine hata shetani anakukimbia anakuacha mwenyewe.
 
Lazima ajibiwe mbovu maana hapo pampu zimetengwa kabisa na zinamaandishi makubwa tu huyu jamaa itakuwa ni chapombe..
Labda gari si lake na kama ni lake basi ni mzembe sana.

Kawaida nikiingia kwenye kituo cha mafuta naelekea kwenye pump wanaonielekeza na wakati anakuja kufahamu ni lita ngapi natakiwa kuweka uwa namwambia NIWEKEE PETROL YA SHILINGI ELFU 50, na wakati anaweka uwa najiakikishia mafuta anayoyaweka ni petrol.
 
huwezi kuwa kilaza kiasi hicho ukawekewe mafuta ambayo siyo ambayo gari yako inatumia, wengi wanaojielewa wakifika wanasema kabisa Petroli ama Dizeli kama hata vpampu husika imeandikwa ili kujiridhisha , stori nyiiingi mara sijui hukufuata mademu sasa nani alikuuliza, na wale jamaa wana mademu wa ukweli na wanajitia walokole
 
Mkuu hiki kisa ni cha kweli na naweza kuapa juu ya hilo.
Hata hivyo kuamini au kutoamini ni juu yako.
Pale najua wanaeneza Neno la Mungu, na sithubutu kumshuhudia mtu UONGO, sembuse anayeeneza Neno la Mungu.

Ninachoeleza hapa ni kweli tupu na nina UHAKIKA wa ukweli huo..
 
Hiyo yakuchanganyia gari mafuta ilishawahi kunikutaga aisee dereva aliwaka na kunisusia gari bahat nzuri meneja alikua mtu mstaarabu alinisaidia kuita fundi akamwaga Yale mafuta nikamuekea mengine kwa garama zangu
 
Wewe kajamaa sio Bure Kuna kitu cha ziada..hii story ya Diesel Na Peteol Ni kisingizio Tu lakini una chuki zako binafsi Na Victoria em weka wazi
Atakuwa alitongoza mtoto wa kilokole akamtolea nje na mkebe wake akaja malizia hasira kwenye uzi jf
 
Mleta uzi ni mshamba fulani
I am way above your league mate.
Wakati unaendesba maboksi mchangani , tayari tulikuwa barabarani
I doubt kama mzazi walo alikuwa hata na hela ya kupanda UDA in the early 80’s.
You idiots have a way of propping your selves into heights of stupidity.
 
Naona umelengwa na tofali utosini. Tulia wewe
 
Ukiwa ni mfanyabiashara wa kutoa huduma, utakuwa umeelewa muanzisha uzi ni Mteja wa Namna ipi.
 


Yaaani ni kuwa makini tu wewe binafsi kama dereva/mwenye gari


Nakumbuka kuna kipind nilikua na Avensis kama hiyo ila inatumia dizeli ilikua ni kila siku nikifika mpaka nishuke mwenyewe niongee mara mbili mbili ndo nafungua mfuniko wa tanki. Wengine hadi wanabisha

Ukienda kizembe wamezoea saloon cars/sedans ni petrol wanakutwisha tu
 
Wewe jamaa inatakiwa utafutwe ufungwe ..hiki unachofanya Ni kuchafua biashara Na brand Za watu..brand defamation..Siajabu wewe Ni mfanyakazi wa Camel oil
Mbona nawe unachafua Brand za watu!Kwa nini umshutumu mleta kuwa ni mfanyakazi kazi wa "Camel Oil"?

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Ila mkuu mwanzo ulidai Meneja ndio mwenye shida na ulipata ushirikiano toka kwa attendants.Cha ajabu nyuzi zilizofuatia ni kuwashutumu na kuwakebehi..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…