Jihadhari na overtake za aina hii

Tembea na kanuni hii siku zote sio kwenye gari tu bali popote pale, ikiwa shuleni hakukukosekana feilures na wapumbavu au wajinga hata baada ya kumaliza masomo je, waliendaga wapi? Then ndo utakuwa na taadhari na akili ya kila mtu utake muona kwenye hii dunia, Unaweza ukawa makini lakini mwenzio akakosa umakini akakuua... cha muhimu tuombeane Mungu na kukumbushana.
 
Duh Walipigwa mtama yani hapo unapoteza control ya gari mazima
 
Tunatakiwa tuwe na nijia kama ya Ubungo kibaha ambayo ni inter-regions. Nimesikia wanataka waijenge hadi Tunduma nadhani itakuwa safi. Kunakuwa na 6 lanes 2 zinakuwa standard halafu moja inakuwa express way ya kulipia watu wafunguke hadi basi.

Yale yalikuwa ni maoni ya Makamu Mwenyekiti wa CCM 😆 na sio serikali baada ya kukutana na 'kamba ya malori'.

Kinana amesema hayo baada ya kushuhudia foleni ya malori yaliyobeba mizigo akiwa kwenye ziara yake akitokea Songwe kwenda Mbeya Mjini huku akieleza hali hiyo inachangiwa na barabara hiyo kuwa ndogo.

 
Noma kweli, hii sio ya wale jamaa wa TRA wanaofukuzia magendo kweli maana Landcruiser iliisha ikabakia chassis tu.
 
Udreva wa kujihami na tahadhari hatuna kabisa, halafu unapotaka kuovertake unashauriwa uweze kuona mita 100 mbele kwa sababu lolote jambo la dharura likitokea unaweza kuchukua tahadhari, lakini pia unapoendesha jiulize unakimbia spidi kubwa ili iweje tena labda kwenye barabara mbovu! Asilimia 75 ajali tunasababisha wenyewe na asilimia 25 ndio sababu nyingine nyingine,
 
Yes upo sahihi...

Lakini kuna abiria hapo ana sweta au pull-over ya orange, na probably ndio huyo anasikika akiongea kwenye simu...

View attachment 2471650
View attachment 2471652
Tanboy huyo tena ndio alimstua jamaa kuwa speed kubwa na kushoto kwao kuna gari inakuja kibati, Ndio dereva kapeleka upande wake kumbe loooh! Hatari zaidi kakifuata kifo...
 
Kwahio speed ilikuwa haiwezekani sababu huwezi simama na gear namba 5 ndio maana kaanza kulipiga lorry la mbele yake then kukwepa akakutana na basi limekwepa ajali kwa hio kinaumana kama kawaida.
"huwezi simama na gear namba 5"

Hii haiwezekan kvp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…