Jihadhari na overtake za aina hii

Jihadhari na overtake za aina hii

Tembea na kanuni hii siku zote sio kwenye gari tu bali popote pale, ikiwa shuleni hakukukosekana feilures na wapumbavu au wajinga hata baada ya kumaliza masomo je, waliendaga wapi? Then ndo utakuwa na taadhari na akili ya kila mtu utake muona kwenye hii dunia, Unaweza ukawa makini lakini mwenzio akakosa umakini akakuua... cha muhimu tuombeane Mungu na kukumbushana.
 
Pana cruiser moja ilifinyangwa na roli mbili alikuwa ana overtake roli na tela lake yaani pulling roli linalovuta tela akikaribia kumaliza overtake mbele semi inakuja wangu wangu akaongeza mafuta amalize kuovertake ile kamaliza tu kuingia kushoto akapigwa kwa nyuma akasukumizwa mbele ya roli linalokuja nalo likapiga kwa mbele hakutoka mtu pale kwenye cruiser
Duh Walipigwa mtama yani hapo unapoteza control ya gari mazima
 
Tunatakiwa tuwe na nijia kama ya Ubungo kibaha ambayo ni inter-regions. Nimesikia wanataka waijenge hadi Tunduma nadhani itakuwa safi. Kunakuwa na 6 lanes 2 zinakuwa standard halafu moja inakuwa express way ya kulipia watu wafunguke hadi basi.

Yale yalikuwa ni maoni ya Makamu Mwenyekiti wa CCM 😆 na sio serikali baada ya kukutana na 'kamba ya malori'.

Kinana amesema hayo baada ya kushuhudia foleni ya malori yaliyobeba mizigo akiwa kwenye ziara yake akitokea Songwe kwenda Mbeya Mjini huku akieleza hali hiyo inachangiwa na barabara hiyo kuwa ndogo.

Pana cruiser moja ilifinyangwa na roli mbili alikuwa ana overtake roli na tela lake yaani pulling roli linalovuta tela akikaribia kumaliza overtake mbele semi inakuja wangu wangu akaongeza mafuta amalize kuovertake ile kamaliza tu kuingia kushoto akapigwa kwa nyuma akasukumizwa mbele ya roli linalokuja nalo likapiga kwa mbele hakutoka mtu pale kwenye cruiser
Noma kweli, hii sio ya wale jamaa wa TRA wanaofukuzia magendo kweli maana Landcruiser iliisha ikabakia chassis tu.
 
Udreva wa kujihami na tahadhari hatuna kabisa, halafu unapotaka kuovertake unashauriwa uweze kuona mita 100 mbele kwa sababu lolote jambo la dharura likitokea unaweza kuchukua tahadhari, lakini pia unapoendesha jiulize unakimbia spidi kubwa ili iweje tena labda kwenye barabara mbovu! Asilimia 75 ajali tunasababisha wenyewe na asilimia 25 ndio sababu nyingine nyingine,
 
Mbona naona kama ile ni cctv survey lens

Yes upo sahihi...

Lakini kuna abiria hapo ana sweta au pull-over ya orange, na probably ndio huyo anasikika akiongea kwenye simu...

Screenshot_20230107_091207_Chrome.jpg

Screenshot_20230107_091321_Chrome.jpg
 
Yes upo sahihi...

Lakini kuna abiria hapo ana sweta au pull-over ya orange, na probably ndio huyo anasikika akiongea kwenye simu...

View attachment 2471650
View attachment 2471652
Tanboy huyo tena ndio alimstua jamaa kuwa speed kubwa na kushoto kwao kuna gari inakuja kibati, Ndio dereva kapeleka upande wake kumbe loooh! Hatari zaidi kakifuata kifo...
 
Kwahio speed ilikuwa haiwezekani sababu huwezi simama na gear namba 5 ndio maana kaanza kulipiga lorry la mbele yake then kukwepa akakutana na basi limekwepa ajali kwa hio kinaumana kama kawaida.
"huwezi simama na gear namba 5"

Hii haiwezekan kvp?
 
Back
Top Bottom