Jihadhari na overtake za aina hii

Jihadhari na overtake za aina hii

Hawa jamaa kama wamepona wana Mungu sana. Mara zote tunakumbushana kuwa Highway sio sehemu ya mchezo. Hii overtake ambayo inafanywa kwa mtindo wa "Tailing" madhara yake ni kuwa hutaona mbele na wa mbele yako ni rahisi sana kukuuza. Keep your heads up, make sure unaona mnyooko ndio unatoa gari.

Nakukubali kaka
 
Tunatakiwa tuwe na nijia kama ya Ubungo kibaha ambayo ni inter-regions. Nimesikia wanataka waijenge hadi Tunduma nadhani itakuwa safi. Kunakuwa na 6 lanes 2 zinakuwa standard halafu moja inakuwa express way ya kulipia watu wafunguke hadi basi.
Sipati picha na ushamba wetu wabongo nahisi kwenye barabara hiyo ajali zake zitakuwa kabambe hakuna MTU atatoka salama kwenye ajali zake....unakutana na mjerumani kajiachia speed 280 itakuwa balaa Sana
 
Hahahah hata mimi haitoniacha salama labda ikamilike nikiwa na miaka 60! Kama ni before 10 yrs ahead ntaitumia
 
Tunatakiwa tuwe na nijia kama ya Ubungo kibaha ambayo ni inter-regions. Nimesikia wanataka waijenge hadi Tunduma nadhani itakuwa safi. Kunakuwa na 6 lanes 2 zinakuwa standard halafu moja inakuwa express way ya kulipia watu wafunguke hadi basi.
Ukiwa na barabara ya aina hiyo tanzania nzima, ajali zitapungua kwa 90%.

Barabara zilizojengwa kwa standard unaziona hata huko nchi za wenzetu.

Ila tanzania zinajengwa mradi kumewekwa lami msipige shimo kwenye vumbi.
 
Sio timing mzee wangu! Inahitaji utulivu sana!!!! Yani una overtake kwann umejihakikisha unatoboa? Yani unaona vizuri mbali unapotaka ku overtake? Gafla hapana wala timing hapana ndo maana wanakufa watu
Overtaking pia inahitaji uwe na gari yenye nguvu haswa.

Ukiweka kulia sekunde 3 umejivuta upo mbele unachapa mwendo.

Ila sio nusu saa nzima una overtake.
 
Back
Top Bottom