Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa kama wamepona wana Mungu sana. Mara zote tunakumbushana kuwa Highway sio sehemu ya mchezo. Hii overtake ambayo inafanywa kwa mtindo wa "Tailing" madhara yake ni kuwa hutaona mbele na wa mbele yako ni rahisi sana kukuuza. Keep your heads up, make sure unaona mnyooko ndio unatoa gari.
Zimejipanga Nchi zile alizobatiza Jina Rais wa US Donald TrumpView attachment 2471049
Kwa Tanzania ukiwa road we jua tuu , nusu ni maiti nusu u mzima , haijalishi wewe ndo unaendesha na ni mzoefu au unaendeshwa na mtu .... Ikibidi kila unapokuwa barabarani Acha wosia
Ni janga Kama ilivyo ukimwi na Covid kule China
Sipati picha na ushamba wetu wabongo nahisi kwenye barabara hiyo ajali zake zitakuwa kabambe hakuna MTU atatoka salama kwenye ajali zake....unakutana na mjerumani kajiachia speed 280 itakuwa balaa SanaTunatakiwa tuwe na nijia kama ya Ubungo kibaha ambayo ni inter-regions. Nimesikia wanataka waijenge hadi Tunduma nadhani itakuwa safi. Kunakuwa na 6 lanes 2 zinakuwa standard halafu moja inakuwa express way ya kulipia watu wafunguke hadi basi.
Hahahah hata mimi haitoniacha salama labda ikamilike nikiwa na miaka 60! Kama ni before 10 yrs ahead ntaitumiaSipati picha na ushamba wetu wabongo nahisi kwenye barabara hiyo ajali zake zitakuwa kabambe hakuna MTU atatoka salama kwenye ajali zake....unakutana na mjerumani kajiachia speed 280 itakuwa balaa Sana
Kweli mzee! Hii imetokea wapi hapo?K
Ajali ni sekunde tu watu wanaanza maombolezo
Alitoka mtu kweli hapo!Kenya mkuu!
Overtake inahitaji timing sana, uzoefu na ushap wa maamuzi ya ghafla
Ukiwa na barabara ya aina hiyo tanzania nzima, ajali zitapungua kwa 90%.Tunatakiwa tuwe na nijia kama ya Ubungo kibaha ambayo ni inter-regions. Nimesikia wanataka waijenge hadi Tunduma nadhani itakuwa safi. Kunakuwa na 6 lanes 2 zinakuwa standard halafu moja inakuwa express way ya kulipia watu wafunguke hadi basi.
Hiyo ajali haioneshi kama ni mzinga mkubwa.Nina uhakika hao abiria washaimbiwa parapanda...
Overtaking pia inahitaji uwe na gari yenye nguvu haswa.Sio timing mzee wangu! Inahitaji utulivu sana!!!! Yani una overtake kwann umejihakikisha unatoboa? Yani unaona vizuri mbali unapotaka ku overtake? Gafla hapana wala timing hapana ndo maana wanakufa watu