Killa Cam
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,264
- 6,679
kabla sijamlaumu dereva napeleka lawama zangu kwa Wizara ya miundombinu(serikali) inakuwaje wajenge barabara ya highway njia 2 tu. Kwanini isiwe 4 au 6??Iwapo dereva angekuwa makini, na kuangalia japo taa ya gari ya mbele yake, japo ali_overatake kimakosa, still angeweza kupunguza mwendo, na kuwa salama /kurudi upande wake sahihi.
View attachment 2471047
Eti anachungulia kama usalama upo???