Jihadhari na overtake za aina hii

Jihadhari na overtake za aina hii

Iwapo dereva angekuwa makini, na kuangalia japo taa ya gari ya mbele yake, japo ali_overatake kimakosa, still angeweza kupunguza mwendo, na kuwa salama /kurudi upande wake sahihi.
View attachment 2471047
Eti anachungulia kama usalama upo???
kabla sijamlaumu dereva napeleka lawama zangu kwa Wizara ya miundombinu(serikali) inakuwaje wajenge barabara ya highway njia 2 tu. Kwanini isiwe 4 au 6??
 
Unasimamaje na gear namba 5 ukiwa full kibati. Hata kama gari itasimama ila ni baada ya umbali mrefu sana.
Akiweza kusimama lazima moyo utoke kushoto uende kulia ...yaani atakufa kwa viongo kuhama kutokana na kusimama ghafla kwenye mwendo
 
Ukitaka kushuhudia overtaking za madereva vichaa njoo DAR - MORO hapa kuna madereva Wana mioyo ya chuma hawajui namna nyingine zaidi ya kukaa upande wa kulia Tu nakumbuka mwaka Jana maeneo ya ruvu kuna mwendawazimu mmoja na premio yake alikuwa anaovertake kama huyo jamaa kwenye clip.

Yule kichaa alikuwa anatoa gari hata mwenye V8 anaogopa lkn jamaa hivyohivyo anatanua na hatukumuona tena Hadi naingia morogoro
Huyo jamaa nahisi namfahamu ni vile hukufanikiwa kushika namba, kifupi kama ndio huyo naemuhisi uko sahihi jamaa huwa ajali na anafunguka kweli kweli. Last time niliwahi safari nae Moro Bagamoyo kupitia Mlandizi aisee huko njiani nilikuwa nasali sala zote kimya kimya.

Ukimwambia kaka hizi overtaking zako sio atajirekebisha kwa muda then huyo anarudia yale yale huwa namwita chizi maspeed [emoji1787][emoji1787]
 
Huyo jamaa nahisi namfahamu ni vile hukufanikiwa kushika namba, kifupi kama ndio huyo naemuhisi uko sahihi jamaa huwa ajali na anafunguka kweli kweli. Last time niliwahi safari nae Moro Bagamoyo kupitia Mlandizi aisee huko njiani nilikuwa nasali sala zote kimya kimya.

Ukimwambia kaka hizi overtaking zako sio atajirekebisha kwa muda then huyo anarudia yale yale huwa namwita chizi maspeed
emoji1787.png
emoji1787.png
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣 pengine ni yeye
 
Back
Top Bottom