Jihadhari na wanawake hawa, wengi wao wana vinasaba vya wapenzi wao wa zamani

Jihadhari na wanawake hawa, wengi wao wana vinasaba vya wapenzi wao wa zamani

Kwa hiyo mwanaume mwenye umri mkubwa labda amefika zaidi ya miaka 55 akiwa mjane naye unamshauri ni heri aoe wenye umri wa kundi la kwanza.
 
Kuna siri ambayo wanaume hawaijui kuhusu wanawake. Wanawake wenye umri wa miaka 18-22 wana mapenzi ya kweli. 22-24 wana mawenge. 24-27 wanajitambua. 27-30 wana hofu na mashaka mengi. 30-35 wana msongo wa mawazo. 35-42 ndoa nyingi huvunjika. Kwa hiyo, kuwa makini na wanawake hasa wanawake wa kundi la 6. Wanawake wa kundi la 6 wengi wao wana vinasaba vya wapenzi wao wa zamani.

Wanawake wenye umri wa miaka 18-22 wanaweza kutawaliwa. 22-24 wanaweza kukuumiza. 24-27 unaweza kuweka nao malengo yenye tija. 27-30 watakuchunguza sana na hawatakupenda kutoka moyoni. 30-35 wamejawa na dharau za kijinga. 35-42 watakung’ang’ania kupoza hasira za huko walikotoka.

Tofauti na wanawake wenye umri wa miaka 18-22, na wanawake wenye umri wa miaka 24-27, wengine wote ni majaaliwa ya Mwenyezi Mungu.

Mwanamke mwenye umri wa miaka 42 na kuendelea anafaa kuolewa kama ni mjane na ataweza kuwapenda watoto wako ikiwa mama yao alishafariki. Yule ambaye hajawahi kuolewa au aliyewahi kuolewa lakini akaachika bado ni majaaliwa ya Mwenyezi Mungu, kwa sababu hujui kwa nini hajaolewa au kwa nini aliachika, hata kama Mwenyezi Mungu alimjaalia watoto.
Weka na takwimu za wanaume, otherwise your research is meaningless and useless
 
Mimi siwezi kufanya upumbavu wa kuweka takwimu hapa jamvini kama sijazipata Tanzania Bureau of Statistics. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI Yeye ndio atuambie amepata wapi takwimu zake.
 
Mimi siwezi kufanya upumbavu wa kuweka takwimu hapa jamvini kama sijazipata Tanzania Bureau of Statistics. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI Yeye ndio atuambie amepata wapi takwimu zake.
Takwimu zipo nyingi tu, za kutafiti mwenyewe na zile zilizo tafitiwa na watu wengine individuals na taasisi.

Utafiti ni gharama kubwa, nchi yetu fukara haiwezi kutafiti kila kitu, hivyo basi haina takwimu nyingi za kutosha.

Karibu kwa swali lingine.
 
MIXOLOGIST nashukuru kwa maoni yako. Ila pia naomba usome nilichomjibu Mrembo Jemima
 
Takwimu zipo nyingi tu, za kutafiti mwenyewe na zile zilizo tafitiwa na watu wengine individuals na taasisi.

Utafiti ni gharama kubwa, nchi yetu fukara haiwezi kutafiti kila kitu, hivyo basi haina takwimu nyingi za kutosha.

Karibu kwa swali lingine.
Kutumia takwimu za mamlaka ya Takwimu sio ombi bali ni takwa la kisheria. Naungana na MIXOLOGIST kwamba hapa jamvini pamejaa mikurupuko.
 
Back
Top Bottom