MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
SwadaktaKutumia takwimu za mamlaka ya Takwimu sio ombi bali ni takwa la kisheria. Naungana na MIXOLOGIST kwamba hapa jamvini pamejaa mikurupuko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SwadaktaKutumia takwimu za mamlaka ya Takwimu sio ombi bali ni takwa la kisheria. Naungana na MIXOLOGIST kwamba hapa jamvini pamejaa mikurupuko.
Hii ni kweliacha kujitengenezea vitu vya kijinga. we umetoa wapi huu uchanganuzi, kwa hiyo unakaa mwenye na stess zako unatuletea upupu wako huku. Acha utoto
Natoa rai kwa uongozi wa JamiiForums, Moderator , Mhariri, Maxence Melo na timu yake, wahakikishe kila thread inayoenda hewani iwe imekidhi matakwa yote ya kisheria, ili kuilinda JF na migogoro ya kisheria inayoweza kujitokeza kwa uzembe wa mtu mmoja.Swadakta
Kuna kitu kinaitwà Sayansi ya Jamii. Hata wewe unaweza kutenga muda wako, ukaangalia jamii ina shida gani na vipi nitaweza kuitatua. Ukafanya utafiti wako kupitia jamii hiyo na ukapata majibu.acha kujitengenezea vitu vya kijinga. we umetoa wapi huu uchanganuzi, kwa hiyo unakaa mwenye na stess zako unatuletea upupu wako huku. Acha utoto
Sasa kuna mwanamke wa chini ya miaka 23 anayejua maana ya kupendwaWanaume nyinyi mtaendelea tu kupigwa na vitu vizito, no way! Maana mnaambukizana uongo. Mtu akishatendwa huko anakuja kuwalisha wenzie matango pori, eti utafiti 🤣🤣🤣
Jiulize kama wapo mbwa mwitu, simba, manyoka ya kutisha na hatujambiwa tuishi nayo kwa akili, kwanini mwanamke? I sense a curse, ni mtazamo tuBiblia imesema mkae na wanawake kwa akili. Kama hauna akili achana na mambo ya wanawake yatakuchosha kabisa. Muhimu kabisa hakikisha unaambatana na mwanamke unaemzidi akili ili asikuchoshe sana.
Umeua kabisa mkongwe mwenzanguBiblia imesema mkae na wanawake kwa akili. Kama hauna akili achana na mambo ya wanawake yatakuchosha kabisa. Muhimu kabisa hakikisha unaambatana na mwanamke unaemzidi akili ili asikuchoshe sana.
Mi nipo kwenye 30-35 hapo ivo amenipa kaz ya kutumia mbinu ya kuruka hiyo miaka mingine ili nisikumbane na balaa....afu usijali wangu...mi sijawahi umizwa na Uzi wowote humu.,..mi naishi maisha ambayo si ya humu jf...tena MTU asijekaza fuvu eti ananifahamu....😉teh!Natoa rai kwa uongozi wa JamiiForums, Moderator , Mhariri, Maxence Melo na timu yake, wahakikishe kila thread inayoenda hewani iwe imekidhi matakwa yote ya kisheria, ili kuilinda JF na migogoro ya kisheria inayoweza kujitokeza kwa uzembe wa mtu mmoja.
Ni kweli tuna haki ya kutoa maoni, lakini tuna wajibu wa kutovunja sheria.
Uzi huu ningefurahi usomwe na To yeye na wanawake wengine wote walioumizwa na maoni ya huyu mwenzetu.
Mkuu umenena vyema, kongole sanaBiblia imesema mkae na wanawake kwa akili. Kama hauna akili achana na mambo ya wanawake yatakuchosha kabisa. Muhimu kabisa hakikisha unaambatana na mwanamke unaemzidi akili ili asikuchoshe sana.
Utapata wapi nguvu za kuchangia mambo ya siasa na kilimo wakati kichwa kimejaa nyege.Kilimo ni uti wa mgongo kwa taifa letu na nchi nyingi barani Afrika. Ajabu tukianzisha mada kwenye jukwaa la Kilimo hazipati wachangiaji.
Majukwaa Kama ya Kilimo; Ajira na tenda; Ujenzi; Biashara; Elimu na mengine yenye tija hayana wachangia.
Jukwaa la Siasa linajitahidi kupata wachangiaji japo wengi wao ni watoto kifikira. Jukwaa pekee busy masaa yote ni hili, japo napo hakuna la maana la kujifunza
Nyege daily 24/7..?!Utapata wapi nguvu za kuchangia mambo ya siasa na kilimo wakati kichwa kimejaa nyege.
Ukiwa na nyege akili hazifanyi kazi
Nyege daily 24/7..?!
Nyege daily 24/7..?!