Jihadhari na wanawake hawa, wengi wao wana vinasaba vya wapenzi wao wa zamani

Jihadhari na wanawake hawa, wengi wao wana vinasaba vya wapenzi wao wa zamani

Natoa rai kwa uongozi wa JamiiForums, Moderator , Mhariri, Maxence Melo na timu yake, wahakikishe kila thread inayoenda hewani iwe imekidhi matakwa yote ya kisheria, ili kuilinda JF na migogoro ya kisheria inayoweza kujitokeza kwa uzembe wa mtu mmoja.
Ni kweli tuna haki ya kutoa maoni, lakini tuna wajibu wa kutovunja sheria.

Uzi huu ningefurahi usomwe na To yeye na wanawake wengine wote walioumizwa na maoni ya huyu mwenzetu.
 
IMG_6871.jpg
 
acha kujitengenezea vitu vya kijinga. we umetoa wapi huu uchanganuzi, kwa hiyo unakaa mwenye na stess zako unatuletea upupu wako huku. Acha utoto
Kuna kitu kinaitwà Sayansi ya Jamii. Hata wewe unaweza kutenga muda wako, ukaangalia jamii ina shida gani na vipi nitaweza kuitatua. Ukafanya utafiti wako kupitia jamii hiyo na ukapata majibu.

Tatizo letu Watanzania ni uvivu. Kitu hukijui, badala ya kutafuta kukijua, unakuja na jawabu moja kwamba hiki hakiwezekani.
 
Biblia imesema mkae na wanawake kwa akili. Kama hauna akili achana na mambo ya wanawake yatakuchosha kabisa. Muhimu kabisa hakikisha unaambatana na mwanamke unaemzidi akili ili asikuchoshe sana.
Jiulize kama wapo mbwa mwitu, simba, manyoka ya kutisha na hatujambiwa tuishi nayo kwa akili, kwanini mwanamke? I sense a curse, ni mtazamo tu
 
Biblia imesema mkae na wanawake kwa akili. Kama hauna akili achana na mambo ya wanawake yatakuchosha kabisa. Muhimu kabisa hakikisha unaambatana na mwanamke unaemzidi akili ili asikuchoshe sana.
Umeua kabisa mkongwe mwenzangu
 
Natoa rai kwa uongozi wa JamiiForums, Moderator , Mhariri, Maxence Melo na timu yake, wahakikishe kila thread inayoenda hewani iwe imekidhi matakwa yote ya kisheria, ili kuilinda JF na migogoro ya kisheria inayoweza kujitokeza kwa uzembe wa mtu mmoja.
Ni kweli tuna haki ya kutoa maoni, lakini tuna wajibu wa kutovunja sheria.

Uzi huu ningefurahi usomwe na To yeye na wanawake wengine wote walioumizwa na maoni ya huyu mwenzetu.
Mi nipo kwenye 30-35 hapo ivo amenipa kaz ya kutumia mbinu ya kuruka hiyo miaka mingine ili nisikumbane na balaa....afu usijali wangu...mi sijawahi umizwa na Uzi wowote humu.,..mi naishi maisha ambayo si ya humu jf...tena MTU asijekaza fuvu eti ananifahamu....😉teh!
 
Biblia imesema mkae na wanawake kwa akili. Kama hauna akili achana na mambo ya wanawake yatakuchosha kabisa. Muhimu kabisa hakikisha unaambatana na mwanamke unaemzidi akili ili asikuchoshe sana.
Mkuu umenena vyema, kongole sana
 
Hii ni nadharia tu.

umri na tabia za mtu havina uhusiano kabisa kwenye mambo hayo ya mahusiano....eti kwamba akiwa umri fulani atakuwa hivi au vile hapana....nonsense!

mtu kuwa hivi au vile katika umri fulani itategemea na malezi au experiences alizozipitia ndo zitaamua ku behave vipi katika umri fulani.....lakini hakuna guarantee kwamba akifika age fulani ni lazima awe hivi.
 
Kilimo ni uti wa mgongo kwa taifa letu na nchi nyingi barani Afrika. Ajabu tukianzisha mada kwenye jukwaa la Kilimo hazipati wachangiaji.

Majukwaa Kama ya Kilimo; Ajira na tenda; Ujenzi; Biashara; Elimu na mengine yenye tija hayana wachangia.

Jukwaa la Siasa linajitahidi kupata wachangiaji japo wengi wao ni watoto kifikira. Jukwaa pekee busy masaa yote ni hili, japo napo hakuna la maana la kujifunza
Utapata wapi nguvu za kuchangia mambo ya siasa na kilimo wakati kichwa kimejaa nyege.
Ukiwa na nyege akili hazifanyi kazi
 
Back
Top Bottom