Jihadhari na wanawake hawa, wengi wao wana vinasaba vya wapenzi wao wa zamani

Kwa hiyo mwanaume mwenye umri mkubwa labda amefika zaidi ya miaka 55 akiwa mjane naye unamshauri ni heri aoe wenye umri wa kundi la kwanza.
 
Weka na takwimu za wanaume, otherwise your research is meaningless and useless
 
Mimi siwezi kufanya upumbavu wa kuweka takwimu hapa jamvini kama sijazipata Tanzania Bureau of Statistics. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI Yeye ndio atuambie amepata wapi takwimu zake.
 
Mimi siwezi kufanya upumbavu wa kuweka takwimu hapa jamvini kama sijazipata Tanzania Bureau of Statistics. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI Yeye ndio atuambie amepata wapi takwimu zake.
Takwimu zipo nyingi tu, za kutafiti mwenyewe na zile zilizo tafitiwa na watu wengine individuals na taasisi.

Utafiti ni gharama kubwa, nchi yetu fukara haiwezi kutafiti kila kitu, hivyo basi haina takwimu nyingi za kutosha.

Karibu kwa swali lingine.
 
MIXOLOGIST nashukuru kwa maoni yako. Ila pia naomba usome nilichomjibu Mrembo Jemima
 
Kutumia takwimu za mamlaka ya Takwimu sio ombi bali ni takwa la kisheria. Naungana na MIXOLOGIST kwamba hapa jamvini pamejaa mikurupuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…