Jihadhari na wanawake hawa, wengi wao wana vinasaba vya wapenzi wao wa zamani

Very true
 
Lovely
 
Mleta mada tafadhali naomba utuwekee nakala ya uchambuzi wako toka sehemu husika si uliyotoa kichwani mwako
 
Haiwezekani kila muda watu wakajadili kilimo au siasa peke yake.Ndiyo maana hata wewe ukaingia MMU.Halafu,ukieleza kwamba kwenye siasa kuna wachangiaji wepesi kifikra unaonesha ni kiasi gani hupendi kulijua daraja lako au hali halisi unayoiishi.Kuna wengi wanaijua siasa vema kabisa.Lakini,kutokana na aina ya maisha yake,wala haichukulii maanani jinsi wewe unavyokaza shingo.Unajadili jambo serious,yeye analeta utani makusudi.After all(afutaloo) ana id batili.Utamfanyaje?
Mapenzi ni sehemu ya maisha.Binadamu kamili(hata ujibaraguze)huwaza ngono kila baada ya wastani wa sekunde nne.Hiyo ni kitaalamu hasa kwa wanaume.Tuyaache hayo.Hapo ulipo,debe la nyanyachungu/bishontongo/nyanyantole/ngogwe/nyanyamshumaa ni shilingi ngapi?Nataka kuacha kuwaza mapenzi nianze biashara hiyo kwa mtindo wa jumlajumla mkuu.
 
Mwanaume ukitaka uumalize mwendo kwa kupitia mateso makali Duniani kuliko Jehanamu kwenyewe basi oa mwanamke Malaya ,muongo na masikini.
 
Kama unataka mahusiano yako ya dumu na yawe na changamoto zinazo vumilika tafuta mwanamke ambae hajawai kuwa na mpenzi au kuumizwa alafu anza kumtawala..

utakuja kunishukuru
 
Kuna siri ambayo ni wakati sasa sote tufahamu kuhusu wanaume. Wengi wao ni watu wenye ubaguzi wa kijinsia. Hawawaoni wanawake kama binadamu, bali kama vitu vinavyopatikana tu kwa ajili ya raha yao wenyewe. Haijalishi wao wenyewe ni wazee na wenye sura mbaya, hawana nia na wanawake halisi, badala yake wanapendelea kuoa watoto ili waweze kuwadhibiti na kuwatawala.
 
Sasa wanaoa maroboti. Roboti una adjust tu uno liende kilometa ngapi kwa saa
 
18 t0 22 ni wa kupakua tu, tena nyuma na mbele...sio kuoa
 
Ahahaaaaa
 
We mbona haukuolewa ulipokuwa mtoto? au hukupitia hiyo stage..🤔
 
Umejisokota sana kwenye mada yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…