Jihadhari: Utapeli mpya kwenye ununuaji wa ardhi

Mkuu na ule utapeli wa kuuziwa kiwanja afu wanakuroga unasahau kila kitu kuhusiana na kiwanja chako, siku ukikumbuka unasema ntafuatilia kesho siku ukisema uende eneo ulilouziwa hukumbuki hata njia ya kuingilia hadi namba za dalali unasahau ulisave vipi[emoji24]
Hakuna utapeli kama huu. Ungekuwepo hakuna mtu angenunua kiwanja halafu akiendeleze.
 
Mimi ukiniuzia Asset yako kiukweli kama hauna uvumilivu utanichukia tu maana hela yangu haitoki ktk mazingira yenye utata au utapeli... Nafuata process zote na ikitokea umenizidi akili ukanitapeli basi hakika uhai wako utakua mikonon mwangu...
Tatizo kubwa linalofanya utapeli ukomae sana Tanzania ni watu kufanya shortcut au kutaka rahisi. Wewe uko kama mimi. Mimi acha watu waniite mjinga lakini mambo ya kufanya ununuzi kama wa kiwanja bila kufuata utaratibu ni big NO. Fedha yako, unanunua kiwanja halafu eti unaambiwa tuandike bei ndogo na wewe unakubali.
 
Maisha yangu yote kwenye risiti za malipo huwa napenda kiwekwe kiwango halisi ,nipo tayari kununua kitu kwa bei halisi nikapewa risiti kuliko kununua kwa bei ndogo bila risiti. Tusipende vitonga risiti Hali kwa malipo sahihi ni haki yako
We nawe,
Mtu anauza kiwanja chake au Shamba risiti anatoa wapi?
 
Tatizo kubwa linalofanya utapeli ukomae sana Tanzania ni watu kufanya shortcut au kutaka rahisi. Wewe uko kama mimi. Mimi acha watu waniite mjinga lakini mambo ya kufanya ununuzi kama wa kiwanja bila kufuata utaratibu ni big NO. Fedha yako, unanunua kiwanja halafu eti unaambiwa tuandike bei ndogo na wewe unakubali.
Nimelizungumzia hapo juu, watu wanaumia kwa kupenda kitonga. Yaani mtu anatoa 50M kununua kiwanja ila anaona kuwa atafirisika akitoa 3M kwa ajili ya wakili lakini wakati huo huo ametoa 5M kumpa dalali 😂😂😂😂🙌🙌🙌
 
Yaan nakubalije kwa mfano nilipe milioni 15 kwenye mkataba iweke milion tano uzuzu wa hali ya juu
 
Mimi manunuzi yoyote yanayozidi million 10 Lazima nifuate taratibu zote kwa msaada wakili.
Asante sana mkuu nimejifunza vitu hapa.
 
Yaan nakubalije kwa mfano nilipe milioni 15 kwenye mkataba iweke milion tano uzuzu wa hali ya juu
Hapa kuna issue ya Capital Gain Tax, kwamba kiwanja kikipanda value basi inabidi ulipie kodi. Sasa ukichukulia wengi tunadhani kodi zetu hua zinachezewa ndomana tunakwepa hiyo kodi kwa kujifanya kiwanja hakina thamani.

Ila likitokea la kutokea ndo tunasaga meno.
 
Makampuni mengi ya real estate wakishakuuzia kiwanja huwa wanatoa Contract tuu (sales agrement) ambapo kuna kipengele kilichosainiwa na mwanasheria ..kwa mtazamo wangu naona bado haitoshi ...Makampuni yajiongeze wanapouza viwanja wawasaidie wateja wao ku process Hati (Title deed)

Ule mkataba kusainiwa na mwanasheria bado haina mashiko sana ....Hati miliki (kutoka wizarani) ndo inayompa mtu 100% assurance ya umiliki wa kiwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe mkuu yale matangazo wanayo tutangazia kila siku kwenye vyombo vya habiri kua viwanja nimepimwa na vina hati ya wizara hua ni danganya Toto mkuu?
 
Kwenye ardhi usipoigwa shukuru tu Mungu. Yaani hata uwe makini vipi, ni aidha utapigwa au utadhulumiwa tu kwa nguvu bila aibu.
 
Mimi ukiniuzia Asset yako kiukweli kama hauna uvumilivu utanichukia tu maana hela yangu haitoki ktk mazingira yenye utata au utapeli... Nafuata process zote na ikitokea umenizidi akili ukanitapeli basi hakika uhai wako utakua mikonon mwangu...
Unaweza kufuata process zoooooote na bado ukapigwa nakuambia.

Matapeli wa ardhi ni kundi mkubwa mnooo LA watu na wana mtandao mkubwa sana. Unaweza kufuata process zote ukishamaliza hiyo hiyo plot wanamuuzia mtu mwingine kwa documents. HIZO HIZo

Ndio maana wanaweza kukudhulumu tu kwa macho makavu tu, na hata ukienda polisi au mahakamani hpati msaada.
 
Kumbe mkuu yale matangazo wanayo tutangazia kila siku kwenye vyombo vya habiri kua viwanja nimepimwa na vina hati ya wizara hua ni danganya Toto mkuu?
Kuna makampuni yanayo saidia clients wao kupata HATI mfano Dalali mwanamke na wengine wachache ...ila wengi wakishakuuzia wanakupa mkataba tuu afu ndo imeisha hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye ardhi usipoigwa shukuru tu Mungu. Yaani hata uwe makini vipi, ni aidha utapigwa au utadhulumiwa tu kwa nguvu bila aibu.
Sure mkuu ...hata kwenye square meter wanatupiga sana ...coz watanzania hatuna Hulka ya kuhakikisha yan ukionyeshwa kiwanja ukiambiwa hiki ni (20×20)= 400sq wengi wana amini tuu bila hata kujiridhisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kufuata process zoooooote na bado ukapigwa nakuambia.

Matapeli wa ardhi ni kundi mkubwa mnooo LA watu na wana mtandao mkubwa sana. Unaweza kufuata process zote ukishamaliza hiyo hiyo plot wanamuuzia mtu mwingine kwa documents. HIZO HIZo

Ndio maana wanaweza kukudhulumu tu kwa macho makavu tu, na hata ukienda polisi au mahakamani hpati msaada.
Ndo maana nkasema Hati miliki kutoka wizarani ndo itakupa 100% kuwa kiwanja ni cha kwako hii mikataba ya mauziano wanaweza pewa watu hata 10 kwa kiwanja kimoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana nkasema Hati miliki kutoka wizarani ndo itakupa 100% kuwa kiwanja ni cha kwako hii mikataba ya mauziano wanaweza pewa watu hata 10 kwa kiwanja kimoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanangu hata hizo hati watu wanachonga.

Changamoto kubwa viwanja Vingi ni vya watu na hata kama wanapima ni upimani wa awali ( shirikishi )

Ili upate kiwanja full documents na ufanye due diligence kote, ni gharama pia
 
Back
Top Bottom