macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Hakuna utapeli kama huu. Ungekuwepo hakuna mtu angenunua kiwanja halafu akiendeleze.Mkuu na ule utapeli wa kuuziwa kiwanja afu wanakuroga unasahau kila kitu kuhusiana na kiwanja chako, siku ukikumbuka unasema ntafuatilia kesho siku ukisema uende eneo ulilouziwa hukumbuki hata njia ya kuingilia hadi namba za dalali unasahau ulisave vipi[emoji24]
Tatizo kubwa linalofanya utapeli ukomae sana Tanzania ni watu kufanya shortcut au kutaka rahisi. Wewe uko kama mimi. Mimi acha watu waniite mjinga lakini mambo ya kufanya ununuzi kama wa kiwanja bila kufuata utaratibu ni big NO. Fedha yako, unanunua kiwanja halafu eti unaambiwa tuandike bei ndogo na wewe unakubali.Mimi ukiniuzia Asset yako kiukweli kama hauna uvumilivu utanichukia tu maana hela yangu haitoki ktk mazingira yenye utata au utapeli... Nafuata process zote na ikitokea umenizidi akili ukanitapeli basi hakika uhai wako utakua mikonon mwangu...
We nawe,Maisha yangu yote kwenye risiti za malipo huwa napenda kiwekwe kiwango halisi ,nipo tayari kununua kitu kwa bei halisi nikapewa risiti kuliko kununua kwa bei ndogo bila risiti. Tusipende vitonga risiti Hali kwa malipo sahihi ni haki yako
Nimelizungumzia hapo juu, watu wanaumia kwa kupenda kitonga. Yaani mtu anatoa 50M kununua kiwanja ila anaona kuwa atafirisika akitoa 3M kwa ajili ya wakili lakini wakati huo huo ametoa 5M kumpa dalali 😂😂😂😂🙌🙌🙌Tatizo kubwa linalofanya utapeli ukomae sana Tanzania ni watu kufanya shortcut au kutaka rahisi. Wewe uko kama mimi. Mimi acha watu waniite mjinga lakini mambo ya kufanya ununuzi kama wa kiwanja bila kufuata utaratibu ni big NO. Fedha yako, unanunua kiwanja halafu eti unaambiwa tuandike bei ndogo na wewe unakubali.
Hapa kuna issue ya Capital Gain Tax, kwamba kiwanja kikipanda value basi inabidi ulipie kodi. Sasa ukichukulia wengi tunadhani kodi zetu hua zinachezewa ndomana tunakwepa hiyo kodi kwa kujifanya kiwanja hakina thamani.Yaan nakubalije kwa mfano nilipe milioni 15 kwenye mkataba iweke milion tano uzuzu wa hali ya juu
Kumbe mkuu yale matangazo wanayo tutangazia kila siku kwenye vyombo vya habiri kua viwanja nimepimwa na vina hati ya wizara hua ni danganya Toto mkuu?Makampuni mengi ya real estate wakishakuuzia kiwanja huwa wanatoa Contract tuu (sales agrement) ambapo kuna kipengele kilichosainiwa na mwanasheria ..kwa mtazamo wangu naona bado haitoshi ...Makampuni yajiongeze wanapouza viwanja wawasaidie wateja wao ku process Hati (Title deed)
Ule mkataba kusainiwa na mwanasheria bado haina mashiko sana ....Hati miliki (kutoka wizarani) ndo inayompa mtu 100% assurance ya umiliki wa kiwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kufuata process zoooooote na bado ukapigwa nakuambia.Mimi ukiniuzia Asset yako kiukweli kama hauna uvumilivu utanichukia tu maana hela yangu haitoki ktk mazingira yenye utata au utapeli... Nafuata process zote na ikitokea umenizidi akili ukanitapeli basi hakika uhai wako utakua mikonon mwangu...
Kuna makampuni yanayo saidia clients wao kupata HATI mfano Dalali mwanamke na wengine wachache ...ila wengi wakishakuuzia wanakupa mkataba tuu afu ndo imeisha hiyoKumbe mkuu yale matangazo wanayo tutangazia kila siku kwenye vyombo vya habiri kua viwanja nimepimwa na vina hati ya wizara hua ni danganya Toto mkuu?
Sure mkuu ...hata kwenye square meter wanatupiga sana ...coz watanzania hatuna Hulka ya kuhakikisha yan ukionyeshwa kiwanja ukiambiwa hiki ni (20×20)= 400sq wengi wana amini tuu bila hata kujiridhishaKwenye ardhi usipoigwa shukuru tu Mungu. Yaani hata uwe makini vipi, ni aidha utapigwa au utadhulumiwa tu kwa nguvu bila aibu.
Ndo maana nkasema Hati miliki kutoka wizarani ndo itakupa 100% kuwa kiwanja ni cha kwako hii mikataba ya mauziano wanaweza pewa watu hata 10 kwa kiwanja kimojaUnaweza kufuata process zoooooote na bado ukapigwa nakuambia.
Matapeli wa ardhi ni kundi mkubwa mnooo LA watu na wana mtandao mkubwa sana. Unaweza kufuata process zote ukishamaliza hiyo hiyo plot wanamuuzia mtu mwingine kwa documents. HIZO HIZo
Ndio maana wanaweza kukudhulumu tu kwa macho makavu tu, na hata ukienda polisi au mahakamani hpati msaada.
Mwanangu hata hizo hati watu wanachonga.Ndo maana nkasema Hati miliki kutoka wizarani ndo itakupa 100% kuwa kiwanja ni cha kwako hii mikataba ya mauziano wanaweza pewa watu hata 10 kwa kiwanja kimoja
Sent using Jamii Forums mobile app