Habari wana JF, Toka siasa za vyama vingi zianze kumekuwa kumekuwa na hama hama sana ya vyama ,wengine wanahama kutokana na migogoro kwenye vyama vyao wengine wanadai wanaunga juhudi za Chama tawala.
Binafsi mimi huwa napata tabu sana kuwaamini wanasiasa kinachonishangaza mtu anahama na watu wengi na wanaendelea kuwamini.
Lakini pia kuna Tabia ambayo ipo kila sehemu mnakubaliana mambo na viongozi hao viongozi wakikutana na viongozi wa juu wana Nunulika na wanabadili mawazo.
Hivi wana JF tunakuwaje mpaka tunawaamini watu wanaonulika na kuhama vyama vyao ?
Mwalimu nyerere Alisema Mtu aliezoea kununulika anaweza hata hatarisha maisha yake kama bei yake imefikiwa, Tujihadhari sana na wanasiasa wa aina hii hatutafika popote kama Nchi hafwafai hata kuongoza familia.