Jihadharini na Wanaume mashoga wapo sana Jamiiforums

Kama unajipenda na kujithamini na unaipenda afya yako nakushauri achana na hiyo tabia

sio rahisi kihivyo yaani ni kama unajaribu kuitoa ccm madarakani kwa njia ya kupiga kura
 
Jamani mwenzenu imenikuta mara nyingu sana toka niweke thread ya kutafuta mchumba, si mimi tuu hata rafiki yangu James wa JF kakutana nalo, unakuta umeweka hiyo thread then wanaume kibao wanakupm au kukuchek kwa hewa kama uliacha namba.

Wakikuomba uwape unyumba, na wengine huanza kwa kujitongozesha ila ukiwapigia simu hawapokei, jamani dunia imeisha wanaume wenzangu ,nasikitika kuona kuna baadhi ya wanaume wamekubaliana na hali ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

Hamjithamin eti, hiyo tabia imeshamiri toka tuanze kutembelewa na ugeni toka Marekani, China, nk, nimewaandikia huu uzi kuwatahadharisha kuwa wanaopenda mapenzi ya jinsia moja.

Kuweni makini jamani wanaume na wanawake pia.

​walitaka uwale kiboga! wabaya sana hao, ntawachapa mtot mzuri!
 
me namjua mmoja tu humu ni shoga tena alinitongoza nikammege ila ctakutaja na kesha koment hii threads
 
Mara nyingi anayetongoza ndo anayemega. Sasa wewe tueleze ukweli. Usitufichefiche

Wewe uko wapi....
Wanatongoza hao mashoga na kuganda sana.. Mpole sana kwenye list umemsahau yule mjomba wako
 
Last edited by a moderator:
Wewe uko wapi....
Wanatongoza hao mashoga na kuganda sana.. Mpole sana kwenye list umemsahau yule mjomba wako

Aku nikome, mimi nimebadili jinsia kwasasa najulikana kama Saida nina subiri oppration tuu , na weave langu lilivyo refu mbona utantaka babu we,
 
Mpole sana, nick smart, rocart1991 and Bhanunu

Mimi binafsi napinga ushoga kwa sababu kuu mbili, mmoja ni madhara yanayotokea baadaye. Ushoga una madhara kiafya na kiakili, wengi wanaishia kujiua au kuishi maisha ya upweke sana maana jamii hawaikubali. Sababu ya pili ni kwasababu mashoga wengi wana amini kuwa hawawezi kuacha kitu ambacho ni uongo kabisa.

Ushoga ni tabia kama tabia nyingine na unaweza kuacha ukiamua, "the earlier the better" unahitaji tu upate counsellor na kubadilisha company.

Mtu unaweza ukaandika hapa jinsi unavyofurahia au unavyozani ushoga ni mzuri ila ndani ya moyo wako unaujua ukweli na unaumia kwanini unafanya hivyo. Hakuna maisha ya upweke kama ya mashoga maana ndani ya moyo wao wanamajuto. Sasa hivyi unaweza ukazani unafurahia ila miaka ijayo utakaa chini na kujuta kwa nini ulifuata hiyo njia. Badala ya kuja kujuta baadaye kwa nini usiamue leo kuacha?

Kuna siku nilishawahi kusema hapa, ninawapenda mashoga (watu) maana ni binadamu kama sisi. Ila nachukia ushoga (tendo) kwa maana nimeona jinsi unavyotesa baadhi ya watu. Hii kitu ni mbaya kama madawa ya kulevya tu. Utaweza kunibishia, kujitetea, na kusema chochote ila ukiwa mwenyewe unajua moyo unavyoumia na kujuta.

Wewe pekee yako unajua ukweli. Peace.

Ushoga ni sio tabia ni kutu cha kuzaliwa toka dogo unajitambua. unapo zingumzia kujiua ndio kwani mashoga wengi hawapendi kuwa mshoga na wanaichuki huyo hali lakini hawana jinsi ni kuikubali ki shingo pande pale wanapo ikataa inabidi tuu kujiua
 
Ushoga ni aina fulani ya uwendawazimu wa kupenda michezo ya kukoroga mavi, yaani matendo ya Ulawiti au Ufiraji !
 
kipimo kipo!! kwanza kabisa na vinyweleo vya kwenye () huwa ninalala au kutoota kabisa!! pili ni aina za ukaaji katika kiti au bench ya kawaida na nyingine ni....................

we n mlaji sasa vinywereo kwene makalio ulikua unamfunua kutafuta nn
 
Jamani mwenzenu imenikuta mara nyingu sana toka niweke thread ya kutafuta mchumba, si mimi tuu hata rafiki yangu James wa JF kakutana nalo, unakuta umeweka hiyo thread then wanaume kibao wanakupm au kukuchek kwa hewa kama uliacha namba.

Wakikuomba uwape unyumba, na wengine huanza kwa kujitongozesha ila ukiwapigia simu hawapokei, jamani dunia imeisha wanaume wenzangu ,nasikitika kuona kuna baadhi ya wanaume wamekubaliana na hali ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

Hamjithamin eti, hiyo tabia imeshamiri toka tuanze kutembelewa na ugeni toka Marekani, China, nk, nimewaandikia huu uzi kuwatahadharisha kuwa wanaopenda mapenzi ya jinsia moja.

Kuweni makini jamani wanaume na wanawake pia.
Mungu atuepushe kwakweli
 
Sasa tujihadhari na nini kama mtu umeamua kua shoga si uamuzi wako tu mkuu
 
Back
Top Bottom