Jihadharini na Wanaume mashoga wapo sana Jamiiforums

Sio uongo mkuu na mimi kuna dogo alinitafuta sasa nikashindwa kumuelewa ikabidi nimuulize bana vipi huyo demu ninayemtafuta una link naye? Akasema atanicheki then akakaa kimya baada ya siku chache akanitafuta Whatsapp nikachat nae lakin simuelewi mwishoni nikamuiza tena akajibu eti samahani mkuu nilikosea namba, wakati huo alinitafuta pm
 
Mpole sana, nick smart, rocart1991 and Bhanunu

Mimi binafsi napinga ushoga kwa sababu kuu mbili, mmoja ni madhara yanayotokea baadaye. Ushoga una madhara kiafya na kiakili, wengi wanaishia kujiua au kuishi maisha ya upweke sana maana jamii hawaikubali. Sababu ya pili ni kwasababu mashoga wengi wana amini kuwa hawawezi kuacha kitu ambacho ni uongo kabisa.

Ushoga ni tabia kama tabia nyingine na unaweza kuacha ukiamua, "the earlier the better" unahitaji tu upate counsellor na kubadilisha company.

Mtu unaweza ukaandika hapa jinsi unavyofurahia au unavyozani ushoga ni mzuri ila ndani ya moyo wako unaujua ukweli na unaumia kwanini unafanya hivyo. Hakuna maisha ya upweke kama ya mashoga maana ndani ya moyo wao wanamajuto. Sasa hivyi unaweza ukazani unafurahia ila miaka ijayo utakaa chini na kujuta kwa nini ulifuata hiyo njia. Badala ya kuja kujuta baadaye kwa nini usiamue leo kuacha?

Kuna siku nilishawahi kusema hapa, ninawapenda mashoga (watu) maana ni binadamu kama sisi. Ila nachukia ushoga (tendo) kwa maana nimeona jinsi unavyotesa baadhi ya watu. Hii kitu ni mbaya kama madawa ya kulevya tu. Utaweza kunibishia, kujitetea, na kusema chochote ila ukiwa mwenyewe unajua moyo unavyoumia na kujuta.

Wewe pekee yako unajua ukweli. Peace.
 
Last edited by a moderator:
Ticha snowhite njoo unisaidie kuhesabu hapa. Kafanya mara moja, so atakuwa semi bikira?
Nitue , sija wahi fanya zidi ya mara moja tuu na mmasai tena ilikua kwenye stendi nasubiri daladala usiku natoka shule , kwenye mtaro, toka siku hiyo sija rudia tena , kwanini useme mimi ndio namba moja? .Nimekumbuka mara ya pili nilikua nimelewa nikalewa sana nikaja stukia tuu asubuhi nikiwa nimedhalilishwa waliniambia walikua watano, haikua kosa langu nililewa.Kuhusu mwalim wa chuo , yeye aliniambia ili nifaulu vizuri, yule doctro ilikua ni body physical examination ,wanashauri kila mwanaume anatakiwa wafanyie exam hiyo haikua na maana ya matusi,watu wagumu sana kuelewa .
 
Last edited by a moderator:
Mpole sana, nick smart, rocart1991 and Bhanunu

Mimi binafsi napinga ushoga kwa sababu kuu mbili, mmoja ni madhara yanayotokea baadaye. Ushoga una madhara kiafya na kiakili, wengi wanaishia kujiua au kuishi maisha ya upweke sana maana jamii hawaikubali. Sababu ya pili ni kwasababu mashoga wengi wana amini kuwa hawawezi kuacha kitu ambacho ni uongo kabisa.

Ushoga ni tabia kama tabia nyingine na unaweza kuacha ukiamua, “the earlier the better” unahitaji tu upate counsellor na kubadilisha company.

Mtu unaweza ukaandika hapa jinsi unavyofurahia au unavyozani ushoga ni mzuri ila ndani ya moyo wako unaujua ukweli na unaumia kwanini unafanya hivyo. Hakuna maisha ya upweke kama ya mashoga maana ndani ya moyo wao wanamajuto. Sasa hivyi unaweza ukazani unafurahia ila miaka ijayo utakaa chini na kujuta kwa nini ulifuata hiyo njia. Badala ya kuja kujuta baadaye kwa nini usiamue leo kuacha?

Kuna siku nilishawahi kusema hapa, ninawapenda mashoga (watu) maana ni binadamu kama sisi. Ila nachukia ushoga (tendo) kwa maana nimeona jinsi unavyotesa baadhi ya watu. Hii kitu ni mbaya kama madawa ya kulevya tu. Utaweza kunibishia, kujitetea, na kusema chochote ila ukiwa mwenyewe unajua moyo unavyoumia na kujuta.

Wewe pekee yako unajua ukweli. Peace.

PumB&vu
 
Last edited by a moderator:
asante sana kama nilvyosema sina ugomvi na wewe, nakupenda tu. Iko siku utakumbuka ushauri wangu, ni natamani kama utaukumbuka mapema isije ikawa too late. Wishing you the best Bhanunu.
 
Unaushahidi mm ni SHOGA au unalopoka tu kwa kuona Comment za wajinga wachache humu Kama Dinazarde
 
Last edited by a moderator:
Wakati ule natumia avatar ya kiume kuna mtu mmoja akanitumia PM akisema eti ana siku kadhaa hajapata haja kubwa hivyo anatafuta msaada; mie na ushamba wangu nikajuwa ni mtu anaumwa pengine anataka dawa; nikaanza kuaplai ile ya MziziMkavu, nikashangaa bado ananiandama;

Mwisho akasema kabisa anataka nini, niliogopa nikabadili ile kitu na tokea hapo akaishia;

Nimemstri kiutu uzima.
 
Hhhhhhaaaaaa yaan umzibue mtaro watu wana shida na huyo atakua ni Bhanunu .ova
 
Last edited by a moderator:
Mpole sana, nick smart, rocart1991 and Bhanunu

Mimi binafsi napinga ushoga kwa sababu kuu mbili, mmoja ni madhara yanayotokea baadaye. Ushoga una madhara kiafya na kiakili, wengi wanaishia kujiua au kuishi maisha ya upweke sana maana jamii hawaikubali. Sababu ya pili ni kwasababu mashoga wengi wana amini kuwa hawawezi kuacha kitu ambacho ni uongo kabisa.

Ushoga ni tabia kama tabia nyingine na unaweza kuacha ukiamua, "the earlier the better" unahitaji tu upate counsellor na kubadilisha company.

Mtu unaweza ukaandika hapa jinsi unavyofurahia au unavyozani ushoga ni mzuri ila ndani ya moyo wako unaujua ukweli na unaumia kwanini unafanya hivyo. Hakuna maisha ya upweke kama ya mashoga maana ndani ya moyo wao wanamajuto. Sasa hivyi unaweza ukazani unafurahia ila miaka ijayo utakaa chini na kujuta kwa nini ulifuata hiyo njia. Badala ya kuja kujuta baadaye kwa nini usiamue leo kuacha?

Kuna siku nilishawahi kusema hapa, ninawapenda mashoga (watu) maana ni binadamu kama sisi. Ila nachukia ushoga (tendo) kwa maana nimeona jinsi unavyotesa baadhi ya watu. Hii kitu ni mbaya kama madawa ya kulevya tu. Utaweza kunibishia, kujitetea, na kusema chochote ila ukiwa mwenyewe unajua moyo unavyoumia na kujuta.

Wewe pekee yako unajua ukweli. Peace.

Kwa upande moja uko sahihi. Ushoga unaachika tuu pale kwa aliye shoga awe na hali ya kuwa bisexual .Binadamu wengi ni bisexuals ambao wao wana uwezo wa kuchagua , awe na opposite sex or awe na same sex, hii yote nikutokana na hali halisi ya mzingira nayo ishi tamaduni au imani zai dini.Mara zote wanao seam na kukemea ushoga ni wale wanao jitmbua kwamba ni bisexuals.Wanaume walio kamili (straights) huwa hawana tatizo na ushoga sababu hawaoni uwezekano wa wao uhusishwa na tabia hiyo .
 
Reading this post and comments it clearly shows how homophobic some users are. Let me speak for the gays. We are not after straight people, so you guys have nothing to worry about unless you are interested but you have to be hot.
 
Back
Top Bottom