Jihadharini na Wanaume mashoga wapo sana Jamiiforums

Jihadharini na Wanaume mashoga wapo sana Jamiiforums

Mi nachoshangaa ni kimoja tuu, yaani mademu na wanawake wa AINA ZOTE walivyojaa huku mtaani, halafu unatafuta mademu humu??????
Mi nadhaniaga humu ni kwa kujifunza na kujuana na marafiki, mnachart then mnakutana ndipo mnaweza kuwa marafiki wa kawaida kabla hamjawa wapenzi sasa hii!!!!!
Pia kama unataka wa fasta mbona wamejaa huko mijini ndo madanguro kibao, huko vijijini nako bar ndo sehemu ya mauzo kwann utongoze ID ambayo haina hata jinsia??????
 
Makubwa

Kwa hiyo wewe unafelembwa na wanaume wenzio?

Unamkatia kiuno mwanaume mwenzio?

Unamlegezea sauti mwanaume mwenzio?

Dunia kweli imekwisha



Hakuna sweetest sex than ya same sex hivi hamjiulizi kwann watu hawaachi?? Sasa kama hamjui wanaume wengi wenye pesa zao wamewapangia rooms na wengine mpk kuwajengea gays tena gays wa tz mambo yao kimya kimya maofisini wapi wapi kote wapo tena mostly wanavyeo vikubwa nyie bwabwajeni yetu yanatuendea wapiiiiiii
 
Jamani mwenzenu imenikuta mara nyingu sana toka niweke thread ya kutafuta mchumba, si mimi tuu hata rafiki yangu James wa JF kakutana nalo, unakuta umeweka hiyo thread then wanaume kibao wanakupm au kukuchek kwa hewa kama uliacha namba.

Wakikuomba uwape unyumba, na wengine huanza kwa kujitongozesha ila ukiwapigia simu hawapokei, jamani dunia imeisha wanaume wenzangu ,nasikitika kuona kuna baadhi ya wanaume wamekubaliana na hali ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

Hamjithamin eti, hiyo tabia imeshamiri toka tuanze kutembelewa na ugeni toka Marekani, China, nk, nimewaandikia huu uzi kuwatahadharisha kuwa wanaopenda mapenzi ya jinsia moja.

Kuweni makini jamani wanaume na wanawake pia.
watu8 ile kitu hii hapa
 
Last edited by a moderator:
Tatizo letu wa Africa tunashindwa kutofautisha Kati ya anaefanya na Yule mwenye mtazamo ,mtazamo wako katika jambo Fulani ,inaweza kuwatofauti Kama mm Mtazamo wangu juu ya. Mashoga nawaona ni Binadamu na Ushoga ni zambi Kama vile uongo, kuzin, kutoa mimba umbea nk wengi wetu tumezoea zambi kiasi kwamba tunayo iona ni Ushoga tu , utakuta mtu anamwita SHOGA ni mbwa ok kwa usafi gani ulio nao unamtema mate Nk je ww umtakatifu au na ww unayako lakin hutemwi mate na Mungu bado a nakupenda mm sisapot ushoga napinga mitazamo ya watu zidi Yao sio lazima mnielewe mwenye Kuelewa sawa

Hebu peleka mbele huu upuuzi Wako,watu Kama nyinyi ndo wa kwanza mnafaa kupigwa panga la shingo mufe tu, kwa ajili yenu Nyie mashoga wanapata nguvu,pumbaavv
 
Hebu peleka mbele huu upuuzi Wako,watu Kama nyinyi ndo wa kwanza mnafaa kupigwa panga la shingo mufe tu, kwa ajili yenu Nyie mashoga wanapata nguvu,pumbaavv

Nazaliwa nimekuta mashoga wapo
, au umelewa viloba mpu,,,ziiiii wewe
 
Sasa unawasapoti nini??endelea kuwasapoti tuu Iko siku utageuzwa na wewe,it's matter of time tu

ImageUploadedByJamiiForums1410668289.521713.jpg
 
Back
Top Bottom