Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,351
Makubwa
Kwa hiyo wewe unafelembwa na wanaume wenzio?
Unamkatia kiuno mwanaume mwenzio?
Unamlegezea sauti mwanaume mwenzio?
Dunia kweli imekwisha
Yaani inasikitisha sana. Hata picha huwa sipatii inakuwaje kuwaje mpaka mtu anafikira au anafanya mambo kama haya. Ukweli ni mambo ya ajabu sana.