Jiji la Arusha lamkana Mfanyabiashara Chambulo wadai 'amepotosha'

Jiji la Arusha lamkana Mfanyabiashara Chambulo wadai 'amepotosha'

Maisha ni safari ndefu. Usiwahi kukata tamaa maishani. Huyu muheshimiwa (Kaburu) namkumbuka zamani akiwa anapambana na maisha.
Enzi hizo alikuwa amechoka kidogo kama wabongo wote wakati wa Mzee Nyerere. Nadhani aliwahi kuwa muosha magari mitaa ya Sekei.

Leo hii ni tajiri wa kiasi yake. Amekuwa hustler toka kitambo. Mwenyezimungu aendelee kumbariki.
 
Hio ni levy wewe, sio kodi. Kodi analipa TRA, hakmashauri ndo inachukua levy yake kisheria kabisa ambayo ni 0.3 ya turnover.
Hii service levy huwa inatofautiana mkoa kwa mkoa hivyo hiho 0.3% kuna mikoa mingine inachaji zaidi.
Mfano service levy inayotozwa Dar ni tofauti na inayotozwa Simiyu.

Yote kwa yote humu ndani tunaelimishana hivyo kama sipo sahihi na kuna mjuzi wa haya mambo basi ruksa kunisahihisha
 
Back
Top Bottom