Hiyo ni service levy, inapaswa kulipa 0.3%, hiyo sio tax ni ushuru wa hudumaTajiri ropo ropo kajikaanga na mafuta yake mwenyewe.Yaani unaingiza kwa mwaka bilioni 90 halafu Kodi unalipa milioni 24.It doesn't make sense.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni service levy, inapaswa kulipa 0.3%, hiyo sio tax ni ushuru wa hudumaTajiri ropo ropo kajikaanga na mafuta yake mwenyewe.Yaani unaingiza kwa mwaka bilioni 90 halafu Kodi unalipa milioni 24.It doesn't make sense.
We unaijua Arusha ama unaiskia?? Wafanyabiashara hapa walikuwa hawataki kulipa service levy, Wana malimbikizo makubwa ya NYUMA na Sasa huyu mkurugenzi amekuja kuisimamia SHERIA na kukusanya fedha za serikali, wafanyabiashara hawataki... Wanamuundia zengwe hivyo.. sababu tu ya kuisimamia mapato ya serikali.Mkurugenzi wa Jiji mwizi huyo, hiyo ni dili kapiga na mfanya biashara alisema wazi wazi alilipa mil 24 ila wao walimpa risiti ya mil 3 anatakiwa kulipa, huo ni mchezo wa ofisi ya jiji, huyo Mkurugenzi mwizi sana anajulikana. Mkurugenzi ana mapete makubwa mikono yote kuliko msanii Daimond hapo kuna mtumishi wa umma kweli?
Alafu RC Makonda kasema anaunda kamati inayojumuisha wataalam wote kuchunguza sakata zima, iweje huyo Mkurugenzi wa Jiji la Arusha akimbilie kwenye vyombo vya habari na kuwaita kuongea nao, huyu anaanza kujihami kwani ni mwizi na anajulikana tabia ya wizi wake tokea Serengeti aliko kuwa mwanzani kabla ya kuhamia Arusha, tatizo ni huyo Mkurugenzi, mwizi kabisa huyo, na RC Makonda anza na huyo Mkurugenzi, anajifanya kuzunguka zunguka hiyo issue ndogo sana ni wizi wa wazi na mhusika ni huyo Mkurugenzi..
Tajiri inabidi kuwa makini sana na Media. Ukikosea kidogo tu wanakula kichwa. Siku za karibuni amekuwa akisifiwa sana mitandaoni kwa hoja zake kumbe wazee wanamcheki tu.Chamburo Ile bange yake inampeleka pabaya... Kwenye hili HAYUPO sahihi
Kodi yaani tax inalipwa TRA tuu hiyo inayolipwa Halmashauri sio tax ni service levy.
Hii Service levy halmaushi wanatakuwa kulipwa si zaidi ya 0.3 asilimia ya mauzo.
Kwa upande wa tax kampuni inatakiwa kulipa asilimia 30 ya faida kama kodi kwenda TRA na kodi nyingine za zuio kama PAYE na kodi ya zuio za rent.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Dah!Wiki iliyopita alitoa mawazo yake kwenye kikao na benki kuu bila kujua hawapendi ukosoaji.
Kayatimba, hii ni Tz sio Kenya
View attachment 2964502
Yaelekea wote ni mafisadi. Kodi ni million 200. Makubaliano alipe million 24 Ila atapewa demand note na risiti halali ya milioni tatu. Mchezo upo hivyo.Aliyemwelewa atueleze, anadaiwa mil.200 ila ametumiwa demand note ya 3m na bado ni mwongo, jiji ni wasafi. what if ana ushahidi wa kutoa 24 kauweka pembeni, huyu mkurugenzi amejiridhisha hili?
Aliyemwelewa atueleze, anadaiwa mil.200 ila ametumiwa demand note ya 3m na bado ni mwongo, jiji ni wasafi. what if ana ushahidi wa kutoa 24 kauweka pembeni, huyu mkurugenzi amejiridhisha hili?
Hawawezi kukubali ila jamaa sio fala kuwasingiziaSiku chache baada ya Mwenyekiti wa chama cha mawakala wa utalii Tanzania (TATO) Wilbard Chambulo kuituhumu Halmashauri ya jiji la Arusha kudai kuwa ameilipa Halmashauri hiyo milioni 24 kwenye kodi aliyokuwa akidaiwa lakini akashangazwa kuona taarifa za malipo alizopatiwa zinaonesha kuwa amelipa milioni tatu (3) pekee hivyo kuibua hisia hasi na madai ya uhujumu wa fedha za umma kwa baadhi ya maafisa wa Halmashauri ya jiji hilo leo, Jumatatu Aprili 15.2024 Halmashauri hiyo imekanusha vikali madai hayo
Akizungumza na wanahabari ofisini kwake Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri hiyo Mhandisi Juma Hamsini amesema madai ya Chambulo ambaye ni mfanyabiashara na mdau wa masuala ya utalii wa muda mrefu si ya kweli, kwa kuwa baada ya kuibua tuhuma hizo Halmashauri ya jiji la Arusha na ofisi ya Katibu Tawala mkoa wa Arusha ilifanya ufuatiliiaji wa taarifa za mifumo ya kikodi za Chambulo (kwa kuwa hakuna fedha inayopokelewa mkononi), na baada ya ufuatiliaji huo wamejiridhisha masuala kadha wa kadha yanayoleta utata wa ushiri wake kwenye ulipaji wa kodi za serikali hususani zile anazopaswa kulipa kwenye Halmashauri hiyo
Mhandisi Hamsini amesema inadaiwa kuwa Chambulo anamiliki kampuni mbili tofauti ambazo ni 'The Tanganyika Wilderness Camps Limited' na 'Tanganyika Wilderness Camps Limited' ambazo kampuni zote hizo licha ya kwamba zinafanya shughuli zake kwenye maeneo mbalimbali lakini usajili wake umefanyika Arusha, lakini namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN) inayotumika ni moja jambo ambalo linaleta majawabu kuwa mmiliki wa kampuni hizo ni mtu mmoja ambaye ni Wilbard Chambulo
Hata hivyo Mkurugenzi huyo ameeleza kuwa kwenye kumbukumbu za kikodi inaonesha kuwa mauzo ya mfanyabiashara huyo Kwa mwaka yanafikia bilioni 90 ambapo katika fedha hiyo kodi anayopaswa kulipa Halmashauri ni milioni 200 na ushee ambayo kimsingi anadaiwa kwa kuwa licha ya kwamba anaeleza kulipa milioni 24 lakini 'demand note' aliyotumiwa na Halmashauri ni milioni tatu (3) pekee...
MWisho
View attachment 2964450View attachment 2964451View attachment 2964452
KwaKodi yaani tax inalipwa TRA tuu hiyo inayolipwa Halmashauri sio tax ni service levy.
Hii Service levy halmaushi wanatakuwa kulipwa si zaidi ya 0.3 asilimia ya mauzo.
Kwa upande wa tax kampuni inatakiwa kulipa asilimia 30 ya faida kama kodi kwenda TRA na kodi nyingine za zuio kama PAYE na kodi ya zuio za rent.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo 0.3 ya bilioni 90 ni milioni 24?Kodi yaani tax inalipwa TRA tuu hiyo inayolipwa Halmashauri sio tax ni service levy.
Hii Service levy halmaushi wanatakuwa kulipwa si zaidi ya 0.3 asilimia ya mauzo.
Kwa upande wa tax kampuni inatakiwa kulipa asilimia 30 ya faida kama kodi kwenda TRA na kodi nyingine za zuio kama PAYE na kodi ya zuio za rent.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Atakuwa alisizi ndio akaenda kuropoka.Chamburo Ile bange yake inampeleka pabaya... Kwenye hili HAYUPO sahihi
Hivi, mtu mmoja anakuwa na TIN moja kwa bishara zake zote, au kila biashara ya mtu mmoja inatakiwa kuwa na TIN namba yake?Wameamua kumuanika. Kwani miaka yote hiyo hawakujua kwamba tin moja inatumiwa na kampuni 2 tofauti? Baada ya kuwatuhumu kuomba rushwa ndio mnakuja na utetezi wa hivi?
Tena kwa jinsi huyu Bwana Chambulo alivyokuwa Mjuzi wa Masuala mazima ya Utalii, Mweledi, Haogopi kuwa Mkweli na siyo Mnafiki kama GENTAMYCINE nimemfuatilia Maelezo yake yote na kugundua kuwa Yeye ndiyo Mkweli na yuko sahihi ila hizi Mamlaka na hawa Wanaompinga wametumwa Kimkakati Kumchafua na tulivyo na bahati mbaya pia ya Watawala wetu nao ni wapenda Uwongo na Umbea hivyo wataamini kuwa huyu Jamaa ni tatizo na kuanza kumuwekea Mabifu na Kumkomoa.Siku chache baada ya Mwenyekiti wa chama cha mawakala wa utalii Tanzania (TATO) Wilbard Chambulo kuituhumu Halmashauri ya jiji la Arusha kudai kuwa ameilipa Halmashauri hiyo milioni 24 kwenye kodi aliyokuwa akidaiwa lakini akashangazwa kuona taarifa za malipo alizopatiwa zinaonesha kuwa amelipa milioni tatu (3) pekee hivyo kuibua hisia hasi na madai ya uhujumu wa fedha za umma kwa baadhi ya maafisa wa Halmashauri ya jiji hilo leo, Jumatatu Aprili 15.2024 Halmashauri hiyo imekanusha vikali madai hayo
Akizungumza na wanahabari ofisini kwake Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri hiyo Mhandisi Juma Hamsini amesema madai ya Chambulo ambaye ni mfanyabiashara na mdau wa masuala ya utalii wa muda mrefu si ya kweli, kwa kuwa baada ya kuibua tuhuma hizo Halmashauri ya jiji la Arusha na ofisi ya Katibu Tawala mkoa wa Arusha ilifanya ufuatiliiaji wa taarifa za mifumo ya kikodi za Chambulo (kwa kuwa hakuna fedha inayopokelewa mkononi), na baada ya ufuatiliaji huo wamejiridhisha masuala kadha wa kadha yanayoleta utata wa ushiri wake kwenye ulipaji wa kodi za serikali hususani zile anazopaswa kulipa kwenye Halmashauri hiyo
Mhandisi Hamsini amesema inadaiwa kuwa Chambulo anamiliki kampuni mbili tofauti ambazo ni 'The Tanganyika Wilderness Camps Limited' na 'Tanganyika Wilderness Camps Limited' ambazo kampuni zote hizo licha ya kwamba zinafanya shughuli zake kwenye maeneo mbalimbali lakini usajili wake umefanyika Arusha, lakini namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN) inayotumika ni moja jambo ambalo linaleta majawabu kuwa mmiliki wa kampuni hizo ni mtu mmoja ambaye ni Wilbard Chambulo
Hata hivyo Mkurugenzi huyo ameeleza kuwa kwenye kumbukumbu za kikodi inaonesha kuwa mauzo ya mfanyabiashara huyo Kwa mwaka yanafikia bilioni 90 ambapo katika fedha hiyo kodi anayopaswa kulipa Halmashauri ni milioni 200 na ushee ambayo kimsingi anadaiwa kwa kuwa licha ya kwamba anaeleza kulipa milioni 24 lakini 'demand note' aliyotumiwa na Halmashauri ni milioni tatu (3) pekee...
MWisho
View attachment 2964450View attachment 2964451View attachment 2964452
Unajua tofauti ya 0.3% na 0.3?Kwa
Kwa hiyo 0.3 ya bilioni 90 ni milioni 24?
Hahahaha unamjua wilee wewe, hafai hata kua katibu kata... Huko alipo ndo anafaaTena kwa jinsi huyu Bwana Chambulo alivyokuwa Mjuzi wa Masuala mazima ya Utalii, Mweledi, Haogopi kuwa Mkweli na siyo Mnafiki kama GENTAMYCINE nimemfuatilia Maelezo yake yote na kugundua kuwa Yeye ndiyo Mkweli na yuko sahihi ila hizi Mamlaka na hawa Wanaompinga wametumwa Kimkakati Kumchafua na tulivyo na bahati mbaya pia ya Watawala wetu nao ni wapenda Uwongo na Umbea hivyo wataamini kuwa huyu Jamaa ni tatizo na kuanza kumuwekea Mabifu na Kumkomoa.
Ila Mimi kwa mfano ndiyo ningekuwa Rais wa Ubobezi wa huyu Mtu Chambulo upesi sana ningempa Ubunge wa Kuteuliwa kisha ningempa Uwaziri wa Utalii au Waziri wa Uwekezaji kwani ana Exposure Kubwa mno na hana Njaa wala Ushamba kama walionao hawa Wengi leo ambao Wamehongwa Kumkataa wakati huenda hata Vikaoni walikaa nae pamoja na leo Wanamsaliti. Bwana Chambulo wala Usihofu najua Wametumwa Kukukana na Kukusaliti ili Kukuhariba ila Wengi tumekuelewa katika Hoja zako na Mwenyezi Mungu atakupambania tu.
Aliyenijibu hayaweka percentage symbol were umeleta wapi?Unajua tofauti ya 0.3% na 0.3?
Kwa mfumo wa sasa biashara mbili tofauti zinakuwa na TIN namba moja endapo mmiliki wa hizo biashara ni mmoja labda aamue kumkabidhi mke au watoto umiliki wa kampuni mojawapoWameamua kumuanika. Kwani miaka yote hiyo hawakujua kwamba tin moja inatumiwa na kampuni 2 tofauti? Baada ya kuwatuhumu kuomba rushwa ndio mnakuja na utetezi wa hivi?
Hayafanani. Kampuni moja inaanza na "The" na nyingine haina hilo neno. Hivyo ni kampuni mbili tofautimbona hayo majina umeyaandika yana fanana
Bila shaka atakuwa anafuata taratibu zote za kuandaa hesabu. Ikiwa hivyo hiyo 90B si tatizoHiyo hela b90 huyo jamaa hajawahi kuimiliki lakini ukisikia mauzo ya hela hiyo maana yake
Mfano wewe una duka na kwa siku una wastani wa mauzo ya laki nne tu basi kwa mwaka utakuwa na mauzo ya zaidi ya milioni 100 hela ambayo hujawahi kumiliki kwa pamoja
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app