Jiji la Dar Es Salaam limejengeka zaidi katika kipindi cha awamu hii ya 6 chini ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan.

calm down plz gentleman,
with your pointless comment.

Dar es salaam inasonga mbele vizuri sana chini ya ndugu Albert Chalamila, mkuu wa mkoa huo 🐒
Dar es Salaam inasonga mbele kwa sababu ya Watanzania, sio kwa sababu ya Samia 🚮
 
Dar es Salaam inasonga mbele kwa sababu ya Watanzania, sio kwa sababu ya Samia 🚮
In fact,
matamanio na maono ya muda mrefu ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan, ndio yamechochea mageuzi na maendeleo makubwa sana yanayoendelea sasa katika jiji la Dar Es Salaam,chini ya usimamizi wa mkuu wa mkoa makini sana ndugu Albert Chalamila.

hatuwezi kuficha ukweli huu mtupu kwenye jambo hili la msingi na lenye maslahi mapana kwa wana dar es salaam na Tanzania kwa ujumla 🐒
 
Stupidity at is best.
 
Stupidity at is best.
Gentleman,
can you plz honestly explain your best position in details, so that esteem JF members can understand your points towards Dar Es Salaam city economic, social and political development and transformation status,
in the leadership of very able RC. hon.Albert Chalamila?🐒
 
****** WA MAMA YAKO UNATOA UTOKO MWEUSI
 
Kwenye one, two,we umejenga mangapi tlaatlaah?
 
Ona hii ng'ombe
 
Ona hii ng'ombe
mbuzi!
huna maoni kabisa kuhusu maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii katika jiji la Dar Es Salaam, ila upo unang'aa macho tu jukwaani?

Aise!
hii ni maajabu, 🐒
 
Kwenye one, two,we umejenga mangapi tlaatlaah?
ni majengo marefu,
makubwa halafu ni mengi mno gentleman.

huenda ikifanyika sensa maalumu, tunaweza kupata idadi kamili 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…