Jiji la Dar es salaam linatakiwa kuwa na stendi 7 au 8

Jiji la Dar es salaam linatakiwa kuwa na stendi 7 au 8

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Kama isemavyo kichawa cha habari kisemavyo

Dsm kunatakiwa kuwe na stendi kama 7 au 8
  1. Mbezi
  2. Ubungo
  3. Chanika
  4. Mbagala
  5. Kigamboni
  6. Kigamboni
  7. Tegeta bunju
  8. Kinondoni
Na hizo stendi kuwe na private terminal mfano wa zile zilizopo shekilango
 
Kama isemavyo kichawa cha habari kisemavyo
Dsm kunatakiwa kuwe na stendi kama 7 au 8
  1. Mbezi
  2. Ubungo
  3. Chanika
  4. Mbagala
  5. Kigamboni
  6. Kigamboni
  7. Tegeta bunju
  8. Kinondoni
Na hizo stendi kuwe na private terminal
View attachment 3650415
Bila shaka una maanisha stand za mabas makubwa ya kwenda mkoani.

Stand kubwa iwepo kwenye njia kuu inayotoka Dsm kwenda mkoani.

1. Morogoro road.Mbezi Magufuli.
2. Bagamoyo road (Bunju)
3. Kilwa Road . Mbagala.
 
Kwakweli naweza kutoka nje ya mada kidogo,mnisamehe.
Sababu ya rural to Urban migration ni kutafuta fursa za ajira, biashara, modernization n.k
Kama sehemu ambayo serikali zote zilozopita zimekosea ni pamoja na hili jambo la Dar.
Dar inakua kwa Kasi,hilo halipingiki lakini kwa mtazamo wangu it grows while other zone cities are not prioritized.
Hoja yako ya kujenga stendi 7 inaweza ikawa mearobaini within a short period of time lakini baadae kutahitajika tena stendi nyingine labda be it 8 au 10,na tutaendelea ujinga huo miaka nenda rudi.
Mipango miji ni hivyo,ujenzi holela,uuzaji na ununuzi wa viwanja ni wa kiholela.
If I were the president ningevunja nyumba zote za buguri mnyamani,malapa,Tabata,Mombasa,mwananyamala,kigogo,Keko, nk na kujenga Flats zitakazo wa accomodate hao watu na hilo litaenda sambamba na kuweka Sheria kali za ununuzi na ujenzi wa nyumba,kwa kufanya hivyo mji hautatanuka na utabaki hivyo kwa mda mrefu.
2. Majiji yote ya Zones ( i.e Mbeya, Arusha,Tanga,Mwanza,Mtwara,Dodoma yanatakiwa kuwekewa mazingira rafiki ya uwekezaji ili mtu asifikirie kwenda Dar tu.
Mtu atauliza hela itapatikanaje,hii nchi yetu Ina Mali nyingi sana,hakuna la kushindikana.
Inauma sana Kila mara unakuta Mkoa kama Singida unapewa hati chafu kwenye makusanyo while najua deep down tukisema tuwe na utawala wa kimajimbo,hiyo Dar haiwezi fua dafu kwa Singida,the whole of Singida ni dhahabu tupu ukiacha Uranium iliyopo wilaya ya Manyoni.
Samahani kwa kuwachosha.
 
Kama isemavyo kichawa cha habari kisemavyo

Dsm kunatakiwa kuwe na stendi kama 7 au 8
  1. Mbezi
  2. Ubungo
  3. Chanika
  4. Mbagala
  5. Kigamboni
  6. Kigamboni
  7. Tegeta bunju
  8. Kinondoni
Na hizo stendi kuwe na private terminal
View attachment 3650415
Hivi hizi ni akili za wapi uwe na stand
Mbezi
Ubungo
Kinondoni😀

Kulingana na ukubwa wa kijiografia na kasi ya ongezeko la watu katika jiji la Dar es Salaam, mfumo bora wa mipango miji unahitaji jumla ya stendi kuu 4 za kikanda na kitaifa za satelaiti (Satellite Bus Terminals) zinazotazama pande zote kuu za kuingilia jijini badala ya kutegemea kituo kimoja pekee.

Stendi hizi zinajumuisha Stendi Kuu ya Mbezi Luis iliyopo tayari upande wa magharibi kuhudumia barabara ya Morogoro, ikifuatiwa na uhitaji wa stendi nyingine tatu za kimkakati ambazo ni

1. Stendi ya upande wa kusini maeneo ya Mbagala au Kongowe kwa ajili ya mikoa ya Lindi na Mtwara.

2 .Stendi ya upande wa kaskazini maeneo ya Tegeta au Bunju kwa ajili ya ushoroba wa Bagamoyo na Tanga,

3. Stendi ya kusini-magharibi maeneo ya Gongo la Mboto au Pugu ili kurahisisha usafiri wa Pwani na kuunganisha na miundombinu ya reli na uwanja wa ndege.

Mpango huu wa vituo vinne vya pembezoni unasaidia kuzuia msongamano mkubwa wa mabasi ya mikoani katikati ya jiji na kuleta uwiano mzuri wa usafiri kupitia mfumo wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT).
 
Ni upotevu wa fedha kujenga stendi. Kama pesa hizo zipo wazidi kujenga barabara za zege mitaani kote Dar es Salaam.

Kampuni zitakiwe kupita na kuingia stendi ya Magufuli mabasi yakitoka ofisi zao au yanapoingia Dar es Salaam wapite stendi ya Magufuli kisha kuendelea kushusha abiria hadi ktk ofisi zao .

Usafiri wa mabasi siyo usafiri wa ndege kunapohitajika airport ili huduma za dharura kama zimamoto, kituo cha hali ya hewa / upepo zitolewe kwa usalama wa ndege kutua na kupaa

Usafiri wa mabasi ni aina tofauti kabisa, wasijaribu kufanya maisha ya raia yazidi kuwa magumu kwa kuona ufahari wa mrundikano wa mabasi .
 
Umeshamfikiria mtu anayekaa kigamboni

haijalishi anakaa wapi.
Kinachojalisha anaenda wap,
Sasa kama anakaa Kigamboni alaf anataka aende Arusha.
Unataka kusema gari imfuate Kigamboni?.

Yeye ndio aifuate gari Magufuli au Bunju.

Atumie usafiri wa Umma had afike Stand.

Tunaokaa Tegeta , na kutaka kwenda Mtwara mbona hatulalamiki kuwa magari hayako pale Magufuli , hadi tuyafuate Mbagala?
 
haijalishi anakaa wapi.
Kinachojalisha anaenda wap,
Sasa kama anakaa Kigamboni alaf anataka aende Arusha.
Unataka kusema gari imfuate Kigamboni?.

Yeye ndio aifuate gari Magufuli au Bunju.

Atumie usafiri wa Umma had afike Stand.

Tunaokaa Tegeta , na kutaka kwenda Mtwara mbona hatulalamiki kuwa magari hayako pale Magufuli , hadi tuyafuate Mbagala?
Kwa nini hamlalamiki Magari ya Mtwara na Lindi kutokuwepo Magufuli??
 
Kwa nini hamlalamiki Magari ya Mtwara na Lindi kutokuwepo Magufuli??
kwasababu tutayafuata Stand ya Mbagala.

Ni sawa Uko Tegeta. Alaf ukalalamika mbona hakuna magar ya kwenda Mbagala.
Kama ukitaka gari ya mbagala inaifuata Makumbusho, utaipata.
 
Back
Top Bottom