Jiji la Dar es salaam linatakiwa kuwa na stendi 7 au 8

Jiji la Dar es salaam linatakiwa kuwa na stendi 7 au 8

Mbona viwanja vya ndege hatutaki vijengwe kila mahali kuwarahisishia abiria lakini stendi tunataka kila mahali?
Umewahi kupanda ndege au una mpango wowote wa kupanda ndege??
 
Yaani 2026 hii bado watu mnawaza kujenga mastend ya mabasi wakati mlitakiwa muwe na metro na tram systems?

Dar es Salaam haina metro wala tram systems , hizo ndio zinahitajika kwa zama hizi na zinawezekana kabisa kujengwa mkidhibiti ufisadi na matumizi ya hovyo ya pesa za walipa kodi.

Dunia imehama inaenda kwenye clean energy mabasi hayo ya gasoline ni uchafuzi mjini na mtakua hamjatatua tatizo la traffic.
 
Hizo stendi zilizojengwa kila mkoa, wilaya zina faida gani kiuchumi?
Tanzania nchi ambayo haitaki kujenga na bahati mbaya kuna viongozi wanaakili kama zako

Wewe unaona ni sawa kwa mabus kupaki sehemu kama shekilango ambapo hakujawahi andaliwa kama stendi
 
Back
Top Bottom