Mwaka wa Mbele
JF-Expert Member
- Mar 5, 2026
- 1,013
- 3,017
Ni utaratibu au mazoea.Kwa nini yasianzie stendi ya Magufuli ?
Ni utaratibu wa Logistic.Kwa nini hakuna magari ya kwenda Mbagala yanayoanzia Tegeta au Bunju ??
Gari za kwenda Mtwara na Lindi zinazotaka kuanzia safari zao na kumalizia safari zao stendi ya Magufuli zinaruhusiwa kufanya hivyo ?Ni utaratibu au mazoea.
Pia na wao Mabus makubwa kupunguza gharama (wafanyakaz /mafuta/tozo getini/fremu kulipia). Na muda + Foleni .(katikati ya mji kuna foleni zisizotabirika).
Kwahiyo wakaona ni vyema Stand kubwa za Mikoani zijengwe midomon ya barabara zinazoingia/kutoka Dsm kwenda Mikoani. Na Mabus yaanzie safar zao hapo.
Gari itoke garage. Iende ofisin kwake ikapakie mizigo na kukaguliwa, iende Stand magufuli, iende stand mbagala, ienze safar ya Mtwara.
Sasa Hapa tayar masaa 4 ishatumika. Na hata safar Haijaanza
Serikali huwa inatumia vigezo gani kuona kuna haja ya kuwepo route mbalimbali mfano ya Tegeta -Mbagala ?Ni utaratibu wa Logistic.
Na Serikali imeona haina haja na ndio maana hawajatoa vibali vya route za magar haya.
Hii gar inapita Wilaya 4.
Si itapiga route 3 tu kwa siku.
Gari yako Ikiingia Stand kubwa lazima ilipie Tozo getini, iwe na ofisi, iwe na wafanyakazi , italipia pango.Gari za kwenda Mtwara na Lindi zinazotaka kuanzia safari zao na kumalizia safari zao stendi ya Magufuli zinaruhusiwa kufanya hivyo ?
Kama kampuni ya gari inayoenda Mtwara na Lindi iko tayari kulipa hizo gharama zote stendi kubwa ya Magufuli inaruhusiwa kuanzia na kumalizia safari zake katika hiyo stendi??Gari yako Ikiingia Stand kubwa lazima ilipie Tozo getini, iwe na ofisi, iwe na wafanyakazi , italipia pango.
Itapoteza muda na mafuta zaid.
Kwahiyo bora watu wayafute huko yaliko.
Basi linalobeba abiria 50 linasababishaje foleni halafu dalaladala mbili na Bajaji zitakazowabeba hao abiria kuwatoa au kuwapelekea huko stendi ziwe hazisababishi foleni??Sasa za ubungo na kinondoni si zitasababisha foleni katikati ya mji. Stendi ziwekwe kwenye barabara zinazotoka nje ya jiji kama mbagara, bunju na mbezi
Daladala haziepukiki maana zinatumika mpaka na abiria kwenye mizunguko yao ya mjini. Kuhusu bajaji uangaliwe utaratibu wa kuzipanga. Lakini mabasi ya mkoani haya yanaweza kuwekwa pemembezoni ya mji kwenye bafabara zinazotoka jijini kwenda mikoani bila kuathiri shughuli zingine mjiniBasi linalobeba abiria 50 linasababishaje foleni halafu dalaladala mbili na Bajaji zitakazowabeba hao abiria kuwatoa au kuwapelekea huko stendi ziwe hazisababishi foleni??
Dalaladala zinaweza kuepukika, watu wanaweza kupanda taxi, Bajaji, Bodaboda au wakatemea kwa miguu.Daladala haziepukiki maana zinatumika mpaka na abiria kwenye mizunguko yao ya mjini. Kuhusu bajaji uangaliwe utaratibu wa kuzipanga. Lakini mabasi ya mkoani haya yanaweza kuwekwa pemembezoni ya mji kwenye bafabara zinazotoka jijini kwenda mikoani bila kuathiri shughuli zingine mjini
Wengine vipato vyao havitoshelezi kupanda taxi au bodaboda kwenda kwa umbali wa sehemu wanazoendaDalaladala zinaweza kuepukika, watu wanaweza kupanda taxi, Bajaji, Bodaboda au wakatemea kwa miguu.
Na wengine pia vipato vyao havitoshelezi kutoka Kimbiji mpaka Magufuli Stendi.Wengine vipato vyao havitoshelezi kupanda taxi au bodaboda kwenda kwa umbali wa sehemu wanazoenda
Hakuna solution inaweza kunufaisha watu wote. Kuna wachache lazima watolewe kafara. Watakaoguswa na athari za ukosefu wa daladala hauwezi kufananisha na wataoguswa na athari mabasi ya mikoani kupelekwa barabara zinazotoka nje ya mji.Na wengine pia vipato vyao havitoshelezi kutoka Kimbiji mpaka Magufuli Stendi.
Tuwatoe kafara wenye magari binafsi tuwazuie kuingia nayo mjini, wawe wanatumia daladala na Bajaji tu kuingia mjini. Mabasi yaruhusiwe mpaka mwisho wa Dar es Salaam, Kigamboni.Hakuna solution inaweza kunufaisha watu wote. Kuna wachache lazima watolewe kafara. Watakaoguswa na athari za ukosefu wa daladala hauwezi kufananisha na wataoguswa na athari mabasi ya mikoani kupelekwa barabara zinazotoka nje ya mji.
Inawezekana piaTuwatoe kafara wenye magari binafsi tuwazuie kuingia nayo mjini, wawe wanatumia dalaladala na Bajaji tu. Mabasi yaruhusiwe mpaka mwisho wa Dar es Salaam, Kigamboni.
Kama isemavyo kichawa cha habari kisemavyo
Dsm kunatakiwa kuwe na stendi kama 7 au 8
Na hizo stendi kuwe na private terminal mfano wa zile zilizopo shekilango
- Mbezi
- Ubungo
- Chanika
- Mbagala
- Kigamboni
- Kigamboni
- Tegeta bunju
- Kinondoni
View attachment 3650415